Ndugu zangu mimi ni mhitimu wa profession ya quantity surveying (QS) nipo apa kuomba internship iwe wewe ni mmiliki wa kampuni au unaweza kunisaidia kwa namna yoyote ile.

Hii fani ina hela aise ukipata kazi serikalini unakunja perdiem za kutosha kwa mwezi hukosi 4.5M. Pambana ndugu yangu jaribu kuomba kwenye taasisi za serikali. Hii ni moja ya bonge la kozi!