quality unazo admire kwa wengine............

Hata hao mkuu?
 
Kwanza nampongeza sana muanzilishi wa thread, kwani michango yenye ina maana nzito na mafunzo. Qualities zifuatazo nazitamani sana niwe nazo, na nawapongeza waliojaaliwa kuwa nazo.
1. Wachapa kazi bila kudai ujira, wakiamini kuwa ipo siku juhudi zao zitalipwa

2. Wapenda amani, wanaokwepa kila chanzo cha ugomvi na kujitahidi kuamua watu na kutafuta suluhu na wepesi wa kusamehe.

3. Waogopa dhambi – wanakwepa na kujiepusha na matendo yote maovu ikiwa ni pamoja na uongo, uzinzi, dhuluma n.k.

4. Wavumilimu – wako tayari kuvumilia adha za dunia na kupambana nazo, panapopaswa kulia yeyé anatabasamu na kutafuta suluhu.
 
nawadmire wenye uwezo wa kucontrol hasira zao,
nawaadmire wanawake wenye tabia za kudekadeka kwa wapenzi wao, habari ya kudeka hata siiwezi kabisa
Umeona eeee mi napenda watu wenye furaha masaa yote
 
Ina maana akitokea mwenye sifa hizi unachukua jumla, huangalii vitu vingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…