A alikhalef JF-Expert Member Jan 6, 2012 717 74 Dec 8, 2013 #1 Habari wakuu A4 ream paper ya aina ipi ni nzuri hapa tanzania? na bei zake zinaendaje? natanguliza shukrani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Habari wakuu A4 ream paper ya aina ipi ni nzuri hapa tanzania? na bei zake zinaendaje? natanguliza shukrani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
SUYA Senior Member Jun 24, 2009 131 21 Dec 8, 2013 #2 alikhalef said: Habari wakuu A4 ream paper ya aina ipi ni nzuri hapa tanzania? na bei zake zinaendaje? natanguliza shukrani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, Click to expand... Double A
alikhalef said: Habari wakuu A4 ream paper ya aina ipi ni nzuri hapa tanzania? na bei zake zinaendaje? natanguliza shukrani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, Click to expand... Double A
N nadiif Member Sep 10, 2013 17 2 Dec 8, 2013 #4 alikhalef said: Habari wakuu A4 ream paper ya aina ipi ni nzuri hapa tanzania? na bei zake zinaendaje? natanguliza shukrani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, Click to expand... Nopa.top best
alikhalef said: Habari wakuu A4 ream paper ya aina ipi ni nzuri hapa tanzania? na bei zake zinaendaje? natanguliza shukrani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, Click to expand... Nopa.top best
kwemsangazi JF-Expert Member Jun 18, 2013 260 86 Dec 8, 2013 #6 ndaha said: Wadau Mondi je? Click to expand... Toka nimeanza kusambaza Mondi kwa wateja wangu sijasikia malalamiko... Tatizo mubei unapanda mara unashuka.
ndaha said: Wadau Mondi je? Click to expand... Toka nimeanza kusambaza Mondi kwa wateja wangu sijasikia malalamiko... Tatizo mubei unapanda mara unashuka.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,444 25,591 Dec 8, 2013 #7 Ukipata Double A ni balaa....(Ila hazipatikani kirahisi) Ila Number 1 pia ni nzuri hata Dolphin...
N ndaha JF-Expert Member Jul 6, 2013 347 49 Dec 8, 2013 #8 Je bei ya box ya five rim ni ngapi wadau....ni biashara nzuri hii
R rodrick alexander JF-Expert Member Feb 12, 2012 15,204 20,185 Dec 8, 2013 #9 Nopa ndio best hizo nyingine huwa wanachakachua sana ila upatikanaji wake ndio tatizo
A alikhalef JF-Expert Member Jan 6, 2012 717 74 Dec 12, 2013 Thread starter #10 mondi ni bei gani kama unataka pc nyingi kama box 100?
Ngosi JF-Expert Member Oct 4, 2011 386 179 Apr 7, 2016 #11 Habari! Vipi Bei ya carton kwa bei ya jumla kwa dar ni bei gani kwa carton maanake nataka carton nyingi
Habari! Vipi Bei ya carton kwa bei ya jumla kwa dar ni bei gani kwa carton maanake nataka carton nyingi