qualification za nyongeza kujiunga na Udom!!!

qualification za nyongeza kujiunga na Udom!!!

mapambazuko

Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
23
Reaction score
1
1-speed angalau kilomita kumi kwa saa2-mlo mmoja kwa siku3-maji lita tano kila unapotembea 4-bukta ya dhalula ndani ya sulali au siketi5-uwe tayari kulala popote hata ukumbi wa disko6-usisahau mazoezi kwenye vilima nk,ukifanikiwa kumaliza jeshini polisi au jkt,jwtz unaanza na rank ya nyota moja
 
Safi sana,wenye kukosa vigezo hivyo nooo admission!
 
kuandamana kila mkikosa pesa za disko mpaka ukumbi wa bunge
 
Back
Top Bottom