hapana kwa sababu mtihani huu unaitwa kipima maarifa uko equivalent na mtihani wa kidato cha pili anapofaulu tu ndio ana uhalali wa kufanya mtihani wa kidato cha nne kama mtahiniwa binafsi mtihani huu ufanywa na wale ambao hawakusoma mfumo wa sekondari wa kawaida yaani ameeishia la saba akashindwa kuendelea sekondari basi unaweza akijiandikisha akafanya huu mtihani akifaulu mambo safi .. pia ufanya na wale walisoma sekondari wakaishia katikati mfano kaishia form 1 ,2,3 au 4 lakini uhukufanya mtihani kwa sababu yeyote ile..
The Qualifying Test examination will be administered to private candidates inteding to sit for the Certificate of Secondary Education Examination (CSEE), but do not have Form II level secondary education.