Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

munjy1

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
564
Reaction score
139
Qsat Q28G

Jee ni teja la soccer la Ligi za Ulaya? usihangaike kutafuta vya bei ghali, solution ipo hapa, bila ya kujali dstv wanaupgrade au laa Q28G ndio mkombozi wako, inakuja na account ya SPYCAM miezi 6 kwa ajili ya DSTVEutelsat 36E na DSTV Intelsat 20 68.5E na miezi 6 kwa ajili ya Canalsat 22W ambako kuna soccer channels including ss3. Inakubali simcard, wifi,3g modem na lan. Bila ya kujali gharama nyingi utatumia mb100 tu kwa mwezi ambayo bei itategemea utanunua Voda, Airtel, Tigo, Zantel, Ttcl, Smile, Zanlink, Safaricom au Provider yeyote yule anaeuza DATA/Bundle bei nafuu.

Bila ya kusahau Hii ni new model ambayo pia ina T2 ambayo utapata local Channels kama ITV na TBC na nyengine nyingi kwa kutumia atenna yako tu ya kawaida iwe ya Mwiba au Kipepeo

Itapatikana kwa TSH 240,000tu kumbuka bei za munjy1 huwezi kupata popote pale isipokuwa kwa munjy1
KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA Home ya Decoder na Dongles AU WASILIANA NAMI KWA NAMBARI 0773044899 AU 0715044899
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    22.8 KB · Views: 272
  • 2.jpg
    2.jpg
    22 KB · Views: 257
  • 4.jpg
    4.jpg
    38.4 KB · Views: 259
  • 5.jpg
    5.jpg
    75.1 KB · Views: 245
  • 3.jpg
    3.jpg
    34.1 KB · Views: 266
  • 6.jpg
    6.jpg
    32 KB · Views: 246
  • 8.jpg
    8.jpg
    45.1 KB · Views: 252
Qsat Q28G

Jee ni teja la soccer la Ligi za Ulaya? usihangaike kutafuta vya bei ghali, solution ipo hapa, bila ya kujali dstv wanaupgrade au laa Q28G ndio mkombozi wako, inakuja na account ya SPYCAM miezi 6 kwa ajili ya DSTVEutelsat 36E na DSTV Intelsat 20 68.5E na miezi 6 kwa ajili ya Canalsat 22W ambako kuna soccer channels including ss3. Inakubali simcard, wifi,3g modem na lan. Bila ya kujali gharama nyingi utatumia mb100 tu kwa mwezi ambayo bei itategemea utanunua Voda, Airtel, Tigo, Zantel, Ttcl, Smile, Zanlink, Safaricom au Provider yeyote yule anaeuza DATA/Bundle bei nafuu.

Bila ya kusahau Hii ni new model ambayo pia ina T2 ambayo utapata local Channels kama ITV na TBC na nyengine nyingi kwa kutumia atenna yako tu ya kawaida iwe ya Mwiba au Kipepeo

Itapatikana kwa TSH 240,000tu kumbuka bei za munjy1 huwezi kupata popote pale isipokuwa kwa munjy1
KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA Home ya Decoder na Dongles AU WASILIANA NAMI KWA NAMBARI 0773044899 AU 0715044899

Acha utapeli hivi vidude havifanyi kazi.
 
Acha utapeli hivi vidude havifanyi kazi.
Boss umetumwa na makaburu nini udanganye watu kuwa havifanyi kazi ili mupate mawauzie vidude vyenu watu wakulipeni dola 100 kwa mwezi
 
Boss umetumwa na makaburu nini udanganye watu kuwa havifanyi kazi ili mupate mawauzie vidude vyenu watu wakulipeni dola 100 kwa mwezi

Hamna kutumwa na makabutu wala nini wacha utapeli na vidude vyenu visivyofanya kazi.
 
Nakuomba usinunue hivi vidude havifanyi kazi ni utapeli tu.ila hawa jamaa wanajua kuvitangaza na huu ni utapeli wa wazi.

Ingekuwa vyema ungeeleza experience yako baada ya kununua. Na jamaa aje hapa atoe ushahidi kuthibitisha sio tapeli na vidude vyake vinafanya kazi.
 
Mara vinafanya kazi , mara havifanyi kazi .. kuelezea how hawataki ... more explanations wakuu
 
Huyu jamaa ameuza sana hivi vitu humu jamvini ila kwa miezi ya karibuni hivo vidude vinaonesha channel chache sana za dstv na kuna wkt havioneshi kbs. Uzuri wake unaweza tumia kama FTA receiver labda na hiyo additional feature aliyoisema unaweza tumia bila dish
 
Mara vinafanya kazi , mara havifanyi kazi .. kuelezea how hawataki ... more explanations wakuu
nadhani hiyo ndio ishu ya kujadili mtu ataje kitu kwa expirience yake but kuanza kumwita mtu tapeli sio vyema sababu hakuna niliyewahi kumtapeli sio humu tu jamii forums bali mitandao yote mimi huwa mtu namueleza ukweli kabisa anapopiga simu nampa advantage na disadvantage then nampa option ya kuchukuwa muda kufanya maamuzi ya kununua ama kununua na pia huwa nampa na option ya kununua pia kwa mtu ambaye yeye anamuamini iwe humu jamii forums au nje ya jamii forums, humu ndani wamo wengi tu wanaouza hivi vitu nadhani ukiperuzi utawakuta pamoja na bei zao na options nyengine nyingi tu, nadhani pia watu wanahitaji kusoma kiswahili vizuri kwanza, kwa kwetu Zanzibar kumwita mtu tapeli ni tusi kubwa sana tofauti na mnavyoita tu watu jina la tapeli kirahisi rahisi kama hivi.
 
kwa nini usiweke hapa hizo advtnge na disadvntage zakempaka mtu apige simu
 
Maana utapeli umetamalaki siku hivi kampuni moja walitangaza decoder zao wakidai unaweza kutumia antena ya kawaida au dish antenna nilipo nunua wakasema inashika pale utakapo unga na dish kubwa sijui inch mia ngapi sijui km dish za NASA nadhani,sasa nipo nipo tu frustated!
 
kwa nini usiweke hapa hizo advtnge na disadvntage zakempaka mtu apige simu
advantages ni kwamba hutalipia dola 88 kila mwezi kwa dstv na hautalipa dola 100 kila mwezi kwa canalsat, dis advantages ukiwa huna internet au salio katika simcard yako au modem huwezi kuona channel yeyote na disadvantage nyengine na advantage nyengine nawaachia wanaotumia watowe maoni yao.
 
Maana utapeli umetamalaki siku hivi kampuni moja walitangaza decoder zao wakidai unaweza kutumia antena ya kawaida au dish antenna nilipo nunua wakasema inashika pale utakapo unga na dish kubwa sijui inch mia ngapi sijui km dish za NASA nadhani,sasa nipo nipo tu frustated!
Boss hao wanaotangazia dish inch 100 inaweza kuwa ni NASA agent, hahahaha au inaweza kuwa hamjafahamiana tu lugha, wao pengine wamezungumza kitaalamu au kifundi na wewe hufahamu lugha zao hao mafundi na wataalamu au wajanja.
 
naomba kuzijua channels za canalsat 22w
nadhani ukisoma hii post mwanzoni na hilo neno CANALSAT 22w na d**v 36 na 68 nadhani ukiziwekea mouse utaona kwamba hizo ni link ambazo zinakupeleka kwengine ambapo utaona channel list
 
Back
Top Bottom