kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,089
Ww hata hutafuti hela ya kujiunga acha uongo. Sema umeshaliwa unataka wengine waingie mkenge urudishe hela yakoNashauri tufanye utafiti kwanza wa namna ambayo network marketing inafanya kazi! Network marketing believe it or not is an industry kama ilivyo industry ya mziki, kilimo, uzishaji nakadhalika. It is a legitimate business sema haifanani na biashara tulizozoea na utashi wa biashara tulizozoea hautumiki huku! Me nashauri kila mtu afanye utafiti yakinifu na jaribu kidoogo kuwa open minded msiache hizi negative comments ziwaaminishe kwamba biashara ama kampuni ya Qnet ni magumashi. Kuna wasomi kibao wamemaliza chuo wamo humu, Auditors wa the Big 4, bankers, accountants vijana wadogo tu! Kwani unadhani wao wameona nini?? Hata Kampuni kama Apple, samsung, Tesla, inapata alot of negativity but they still make huge profits so dont let these few negative comments zikuzuie fursa nzuri ya kutengeneza passive income waache wanaobisha wapambane na ajira na small businesses(Mngesoma basi ata Rich Dad Poor Dad na 21st Century Business cha Robert Kiyosaki before spewing all this rubbish)! Nimepata presentations na nafanya mchakato wa kupata iyo hela nijiunge na hii fursa japo mchakato ni mgumu sio siri ila itafahamika tu!