Waarabu mmarekani aliweza kuwafunika kuhusu israel,ila inapoelekea watashtukia mchezo na wataanza kuiunga mkono palestina,hii vita ilipofikia ilitosha kabisa kuwa imeisha ila paka kakaza fuvu,angejiuliza sapoti waliyokua wanaipata kutoka nchi za ulaya kwanini sasa hivi awazipati!Mwanzoni wakati operations za Palestina na Syria niliona Israel wana haki ya kujilinda ila kwa sasa!! Hapana, this is too much!
Israel inafanya mashariki ya kati kusiwe na amani, katoka kwa Iran, juzi Uturuki, leo Qatar. Israel sasa ina shida...!!
Netanyau na serikali yake ya mrengo mkali wana pressure ya uchaguzi, lazima watafute adui mpya haraka haraka Ili kuhamisha mijadala muhimu ya wapiga kura.Mwanzoni wakati operations za Palestina na Syria niliona Israel wana haki ya kujilinda ila kwa sasa!! Hapana, this is too much!
Israel inafanya mashariki ya kati kusiwe na amani, katoka kwa Iran, juzi Uturuki, leo Qatar. Israel sasa ina shida...!!
Kwa sababu tu uelewa wako mdogo ndiyo unaona hivyo!!Mwanzoni wakati operations za Palestina na Syria niliona Israel wana haki ya kujilinda ila kwa sasa!! Hapana, this is too much!
Qatari wanaunga mkono Magaidi wa Hamas lazima tu hao ni adui!!Israel inafanya mashariki ya kati kusiwe na amani, katoka kwa Iran, juzi Uturuki, leo Qatar. Israel sasa ina shida...!!
Mbona wewe na ugaidi wako hawakuwahi kukuunga mkono au unapokea posho zako kimya kimya huko???Kwa sababu tu uelewa wako mdogo ndiyo unaona hivyo!!
Qatari wanaunga mkono Magaidi wa Hamas lazima tu hao ni adui!!
Huyu kila nchi ya middle east ni adui yake na nashangaa wanaomuunha mkono. Akimalizana na hao itafuata saudi arabia, itakuja egypt, maana turkey nao tayari na hata hao UAE na kila nchi🚨Waziri Mkuu wa Israeli Netanyahu ameitaja Qatar hadharani kama nchi "yenye uadui".
Maoni yangu: Kauli hii inaashiria mabadiliko makubwa rasmi katika uundaji wa diplomasia. Qatar imekuwa mpatanishi muhimu katika mazungumzo ya kikanda kwa muda mrefu, kwa hivyo kuyaita kama uadui kunaashiria mabadiliko yanayowezekana katika njia za mawasiliano ya moja kwa moja na juhudi za upatanishi zinazoendelea. Ninafuatilia maendeleo haya ya kidiplomasia kwa karibu kwa ajili yenu nyote….
Hizo ni ndoto zako wewe tu lakini ukweli waarabu ni adui si kwa Wayahudi tu hata kwa waafrika!!Huyu kila nchi ya middle east ni adui yake na nashangaa wanaomuunha mkono. Akimalizana na hao itafuata saudi arabia, itakuja egypt, maana turkey nao tayari na hata hao UAE na kila nchi
Kwani waisrael sio adui wa afrika? Ulishwahi kusona lengo na zionist? Ndiyo maana kuna wayahudu wengi wanapinga serikali ya Israel na last week walikuwa white house na trump. Unaweza ingia mtandaoni uone hao wayahudi wanaopinga na kwanini wanapingaHizo ni ndoto zako wewe tu lakini ukweli waarabu ni adui si kwa Wayahudi tu hata kwa waafrika!!
Angalia wana yote za ndugu zetu walioko huko uarabuni utashangaa sana likitokea Bumunda linaunga mkono waarabu!!
HahahaHao kila mtu ni adui yao, nakushangaa ww na vitenge vyako unawashobokea
Huwa nafikiria sana we jamaa Huwa unatumia kiungo gani cha mwili wako kufikiria Kwasababu hujawahi kuelewa unachoelekezwa kuhusu middle east.Hizo ni ndoto zako wewe tu lakini ukweli waarabu ni adui si kwa Wayahudi tu hata kwa waafrika!!
Angalia wana yote za ndugu zetu walioko huko uarabuni utashangaa sana likitokea Bumunda linaunga mkono waarabu!!
Israel si adui wa afrika kama ulivyoaminishwa na Wafuga Midevu na Majini wenzako!!Kwani waisrael sio adui wa afrika?
Ujinga uliomezeshwa na waarabu ndiyo unaokusumbua!!Ulishwahi kusona lengo na zionist?
Ndiyo maana nasema wewe ni Mjinga sana na ukinga wako ndiyo unakusumbua sana!!Ndiyo maana kuna wayahudu wengi wanapinga serikali ya Israel na last week walikuwa white house na trump. Unaweza ingia mtandaoni uone hao wayahudi wanaopinga na kwanini wanapinga
Mimi si Bumunda la kuelekezwa kama wewe!! Mimi ninajitambua na nina akili timamu mimi siyo Mwarabu-koko kama wewe!!Huwa nafikiria sana we jamaa Huwa unatumia kiungo gani cha mwili wako kufikiria Kwasababu hujawahi kuelewa unachoelekezwa kuhusu middle east.
Yani unaongea kwa mihemko kwa sababu hufuatilii mambo. Israel na Zionist ni hatari kwa dunia nzima sio Afrika tu. Kwa hiyo hao jews waliokuwa white house juzi wao wamehaminishwa na nani? Kwanini wanapinga serikali yao?Israel si adui wa afrika kama ulivyoaminishwa na Wafuga Midevu na Majini wenzako!!
Ujinga uliomezeshwa na waarabu ndiyo unaokusumbua!!
Ndiyo maana nasema wewe ni Mjinga sana na ukinga wako ndiyo unakusumbua sana!!
Jiulize huko Iran wote wanaunga mkono utawala wa Ayatollah? Kuna watu wengi sana tu wanapinga utawala wa Ayatollah na wengi wao waliuwawa kikatili na watawala je hilo unalisemeaje?
Tumia akili zako vizuri Mungu amekupa bure uzitumie!!
Uzuri nimekuuliza hao wanapinga utawala wa Ayatollah huko Iran wewe huwaoni bali kwa kuwa umemezeshwa uongo na waarabu nawe ukaufakamia bila kujua!!Yani unaongea kwa mihemko kwa sababu hufuatilii mambo. Israel na Zionist ni hatari kwa dunia nzima sio Afrika tu. Kwa hiyo hao jews waliokuwa white house juzi wao wamehaminishwa na nani? Kwanini wanapinga serikali yao?
Umejazwa CHUKI za kijinga za waarabu dhidi ya Wayahudi!!Jipe nafasi ya kuwa huru, wasome hao watu tazama matamko yao kwenye vyombo vyao ndipo utaelewa. Ukiendeshwa na mihemko huwezi kuona.
Mimi sio Mwislamu na nilikuwa nawaunga mkono mpaka nilipoanza kuwachimba kuwasoma.
Hawa watu ni evil na ndio maana miaka hiyo huko kote ulaya walikuwa wanafukuzwa. Hao watu wameteseka sana huko ulaya kwa kufukuzwa kila walipokwenda kwa sababu ya mambo yao ya ajabu. And by the way, kuna tofauti kati ya Jews na Zionists. Serikali ya Israel inaendesha na Zionists. Jews ni dini, Zionist ni political movement
Sasa hapa nimeshaelewa unatumia nini kufikiriaMimi si Bumunda la kuelekezwa kama wewe!! Mimi ninajitambua na nina akili timamu mimi siyo Mwarabu-koko kama wewe!!
Israel inatakiwa iwashikishe adab mapema sana hawa magaidi wa Qatar🚨Waziri Mkuu wa Israeli Netanyahu ameitaja Qatar hadharani kama nchi "yenye uadui".
Maoni yangu: Kauli hii inaashiria mabadiliko makubwa rasmi katika uundaji wa diplomasia. Qatar imekuwa mpatanishi muhimu katika mazungumzo ya kikanda kwa muda mrefu, kwa hivyo kuyaita kama uadui kunaashiria mabadiliko yanayowezekana katika njia za mawasiliano ya moja kwa moja na juhudi za upatanishi zinazoendelea. Ninafuatilia maendeleo haya ya kidiplomasia kwa karibu kwa ajili yenu nyote….
Mimi si Bumunda la kuelekezwa kama wewe!! Mimi ninajitambua na nina akili timamu mimi siyo Mwarabu-koko kama wewe!!