GRANITE II
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 514
- 924
Umenifanya niende kuangalia iyo avatar nilichokiona kina ukweli ndan yakeMkuu hyo avatar ulikuwa unafanyeje au doggy style
Mkuu hawa watu hawafai, wameharibu kanisa la watu bure, yule jamaa aliekuwa na wadhifa fulani kanisani baada ya kuuza nyumba na mikopo juu ili akatajirike huwezi amini siku hizi jua lake kutwa nzima anafuta wateja
Kwa Mwanza sasa wana kiofisi uchwara maeneo ya Mkolani barabara ya kwenda Ibanda primary...Good morning Patners za kutosha....nilivyosikia hivo tu nikajua yale yale tunayotahadharishwa kila siku kule jf. ..nikapigwa 1st presentation najazwa ujinga tu kuhusu Q net...Mara kuna mwenzetu aliacha kazi ya mshahara 3M ili awe full time kwenye hizi project...nikapewa mambo ya BV kubalance right na left nikawa nacheka moyoni tu.....Sasa baada ya siku kadhaa jamaa ananiambia njoo kwenye 2nd presentation huku ndio kuna 80% ya utirio nikamwambia ili tusiharibu urafiki wetu usidhubutu kunihusisha na hayo mambo tena
Ilo tafi la bwiru nilishapelekwa na rafiki angu ambaye alikopa pesa bank akajiunga. Mimi nilishtuka fasta na nikamuekeza ukweli. Jmaa akanichukia. Sasa hivi ni bodaboda. Anaona hata aibu kunisalimia baada ya kugundua kapigwa.Mkuu pale Mwanza walinikosa kosa mbaya....tawi lao la kule kona ya Bwiru...Daah hawa watu almanusura wanisafishe
Kwani ushatuletea wenzio wawili?Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.
Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Si ndo vinapenda mambo mazuri haraka harakabora uwe mtumwa ila mle unakua kichaa alafu kwanini vingi ni vyanafunzi tena vya chuo ??
Hawa Qnet wanandugu zao wapya wanaitwa Alliance in Motion Global wako kule karibu na Shoppers plaza jengo lao lina rangi za yebo yebo walitaka kuniingiza kingi na semina yao ila kila nikiangalia wale vijana masharobalo na suti zao kuna kitu kichwani kinanambia sepa duuh hata semina sikuimalizaSi ndo vinapenda mambo mazuri haraka haraka
Hapo sasa, akomae kuwatafuta anaweza kuanza kuvuna mpunga. goood morning sir..Kwani ushatuletea wenzio wawili?
"Goodmorning Partners"
Subiri mwenzako a-download pesa kwanza bhanaHapo sasa, akomae kuwatafuta anaweza kuanza kuvuna mpunga. goood morning sir..