Q Chillah anahitaji msaada gani?

mwaka jana mei
Nilikutana naye duka fulani usiku nikaikumbuka sura nikamuita, alifurahi sana maana hakutegemea kama bado anajulikana. Akanialika kwenye hotel 1 anapiga live band, sema sio mambo yangu sikwenda. Sijajua kama bado yuko bukoba, ila kuna mshkaji aliniambia ndio makazi yake kwa sasa anaishi geto na washkaji (maunderground wa bk). Kiukweli hawa wasanii wakitoka kwenye peak bila kuwekeza wanasikitisha sana, kiafya niliona yuko poa tu sema uso wake hauonyeshi nuru, inaonekana kabisa anastress za maisha
 
Namsikiliza Msanii Q Chillah Muda Huu, Sielewi hata Anataka Nini? Huruma Ya Watu Ama? Kuacha Muziki mbona ni Mambo ya Kawaida Sana! Wengi Wameacha, Aache Kulia Lia
ana nyimbo inaitwa cancer, iko njiani kutoka. Labla anaanza kuitengenezea promotion(Kick).
MBona Suma Lee aliacha kimya kimya tu, tu yupo kivyake vyake.
Huyu kelele nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Hope ni another Kick
 
Tumchangie basi.
Lianzishe [HASHTAG]#Demi[/HASHTAG],
 
Mi mwenyewe nataka msaada nichangieni halafu nitatoa hapo kidogo kumchangia Chilla
Punguza kutoka fungu la kumi, watu kama hawandio wanastahiri kubugia hilo fungu.😀😀😀
 
Punguza kutoka fungu la kumi, watu kama hawandio wanastahiri kubugia hilo fungu.😀😀😀
Kuna walemavu, wajane, yatima , wagonjwa. Qchilla yupo kundi gani kati ya hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…