pacesetter JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 255 Reaction score 306 May 23, 2018 #41 Maiti said: ilikuwa kiki ya wimbo wake na kiki ya kipindi kisikilizwe na wengi muda huo. Click to expand... Yani hii tasnia sasa hivi bila kiki mambo hayaendi. Inasikitisha sana
Maiti said: ilikuwa kiki ya wimbo wake na kiki ya kipindi kisikilizwe na wengi muda huo. Click to expand... Yani hii tasnia sasa hivi bila kiki mambo hayaendi. Inasikitisha sana
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,402 Reaction score 31,652 May 23, 2018 #42 Iceman 3D said: Qchilla hakujiwekeza nje ya mziki ndio kosa lake Lakin kuimba kwa kutaka huruma hakuta mrudisha Qchief alokuwa form. Labda wamsaidie mtaji aanzishe biznez tuu Click to expand... Asaidiwe kwani ni mgonjwa? Kama yu buheri wa afya akabebe hata zege maisha yasonge. Wakiwa na pesa wanazitapanya ovyo wakiishiwa wanaanza kulialia
Iceman 3D said: Qchilla hakujiwekeza nje ya mziki ndio kosa lake Lakin kuimba kwa kutaka huruma hakuta mrudisha Qchief alokuwa form. Labda wamsaidie mtaji aanzishe biznez tuu Click to expand... Asaidiwe kwani ni mgonjwa? Kama yu buheri wa afya akabebe hata zege maisha yasonge. Wakiwa na pesa wanazitapanya ovyo wakiishiwa wanaanza kulialia
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 May 23, 2018 #43 Thad said: Asaidiwe kwani ni mgonjwa? Kama yu buheri wa afya akabebe hata zege maisha yasonge. Wakiwa na pesa wanazitapanya ovyo wakiishiwa wanaanza kulialia Click to expand... Khaaa! Hadi ww usha mchoka Lakin si kaomba msaada asaidiwe hapo?
Thad said: Asaidiwe kwani ni mgonjwa? Kama yu buheri wa afya akabebe hata zege maisha yasonge. Wakiwa na pesa wanazitapanya ovyo wakiishiwa wanaanza kulialia Click to expand... Khaaa! Hadi ww usha mchoka Lakin si kaomba msaada asaidiwe hapo?
Stephen Ngalya Chelu JF-Expert Member Joined Oct 31, 2017 Posts 8,286 Reaction score 18,548 May 23, 2018 #44 Inasikitisha sana
Thad JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 13,402 Reaction score 31,652 May 23, 2018 #45 Iceman 3D said: Khaaa! Hadi ww usha mchoka Lakin si kaomba msaada asaidiwe hapo? Click to expand... Sio kumchoka, maisha magumu haya. Hao ndugu tu kuwasaidia kipindi hiki mtu unawaza mara mbilimbili sembuse huyo mtu baki tena mzima wa afya
Iceman 3D said: Khaaa! Hadi ww usha mchoka Lakin si kaomba msaada asaidiwe hapo? Click to expand... Sio kumchoka, maisha magumu haya. Hao ndugu tu kuwasaidia kipindi hiki mtu unawaza mara mbilimbili sembuse huyo mtu baki tena mzima wa afya
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 May 23, 2018 #46 Hahahaa Ila qchief ana vituko
samuel faraj JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 1,326 Reaction score 1,266 May 23, 2018 #47 nilikutana na q Jay songea vijijiji ndani kachoka balaa amekua mwanakijiji na yeye
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 May 23, 2018 #48 Thad said: Sio kumchoka, maisha magumu haya. Hao ndugu tu kuwasaidia kipindi hiki mtu unawaza mara mbilimbili sembuse huyo mtu baki tena mzima wa afya Click to expand... Its true vyenyewe umeonge ujue Amesema atapambana ati tanaomba sapot yenu
Thad said: Sio kumchoka, maisha magumu haya. Hao ndugu tu kuwasaidia kipindi hiki mtu unawaza mara mbilimbili sembuse huyo mtu baki tena mzima wa afya Click to expand... Its true vyenyewe umeonge ujue Amesema atapambana ati tanaomba sapot yenu
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,517 Reaction score 13,180 May 23, 2018 #49 Maisha ni kama mchezo wa kupokezana vijiti ukisha kipata kijiti wekeza na ukishapokewa kijiti sasa ni muda wa kula ulicho wekeza.
Maisha ni kama mchezo wa kupokezana vijiti ukisha kipata kijiti wekeza na ukishapokewa kijiti sasa ni muda wa kula ulicho wekeza.
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 May 23, 2018 #50 samuel faraj said: nilikutana na q Jay songea vijijiji ndani kachoka balaa amekua mwanakijiji na yeye Click to expand... Q jay wa wakali kwanza ?
samuel faraj said: nilikutana na q Jay songea vijijiji ndani kachoka balaa amekua mwanakijiji na yeye Click to expand... Q jay wa wakali kwanza ?
samuel faraj JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 1,326 Reaction score 1,266 May 23, 2018 #51 Iceman 3D said: Q jay wa wakali kwanza ? Click to expand... yes mkuu kachoka sana
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 May 23, 2018 #52 pacesetter said: Anadai kipindi kile alikuwa anatumia kwa hiyo akili haikuwa vizuri Click to expand... Ovyo kabisa
pacesetter said: Anadai kipindi kile alikuwa anatumia kwa hiyo akili haikuwa vizuri Click to expand... Ovyo kabisa
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 May 23, 2018 #53 samuel faraj said: yes mkuu kachoka sana Click to expand... Hahahah Afadhali na yeye anapambana kivyake sio kulia lia
samuel faraj said: yes mkuu kachoka sana Click to expand... Hahahah Afadhali na yeye anapambana kivyake sio kulia lia
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 May 23, 2018 #54 Alikuwa anatafuta kiki tuu
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,902 Reaction score 15,932 May 23, 2018 #55 samuel faraj said: nilikutana na q Jay songea vijijiji ndani kachoka balaa amekua mwanakijiji na yeye Click to expand... Lini? Mi nimekutana naye mwakajana mwishoni Bukoba
samuel faraj said: nilikutana na q Jay songea vijijiji ndani kachoka balaa amekua mwanakijiji na yeye Click to expand... Lini? Mi nimekutana naye mwakajana mwishoni Bukoba
Ngushi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 9,064 Reaction score 18,367 May 23, 2018 #56 Unamsikiliza wapi Mkuu?
samuel faraj JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 1,326 Reaction score 1,266 May 23, 2018 #57 screpa said: Lini? Mi nimekutana naye mwakajana mwishoni Bukoba Click to expand... mwaka jana mei
KIKAZI JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 1,369 Reaction score 1,516 May 23, 2018 #58 PROF NDUMILAKUWILI said: Maisha ni kama mchezo wa kupokezana vijiti ukisha kipata kijiti wekeza na ukishapokewa kijiti sasa ni muda wa kula ulicho wekeza. Click to expand... kabisa Maisha hayana mlango aise ukipata tumia vyema.
PROF NDUMILAKUWILI said: Maisha ni kama mchezo wa kupokezana vijiti ukisha kipata kijiti wekeza na ukishapokewa kijiti sasa ni muda wa kula ulicho wekeza. Click to expand... kabisa Maisha hayana mlango aise ukipata tumia vyema.
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 May 23, 2018 #59 Iceman 3D said: Hahahaa Ila qchief ana vituko View attachment 784410 Click to expand... Tatizo anaamini sana mambo ya kishirikina.
Iceman 3D said: Hahahaa Ila qchief ana vituko View attachment 784410 Click to expand... Tatizo anaamini sana mambo ya kishirikina.
KIKAZI JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 1,369 Reaction score 1,516 May 23, 2018 #60 samuel faraj said: mwaka jana mei Click to expand... ila qjay akipambana anaweza kurudi kipaji anacho sijui amekwama wapi?
samuel faraj said: mwaka jana mei Click to expand... ila qjay akipambana anaweza kurudi kipaji anacho sijui amekwama wapi?