K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Jul 13, 2010 #1 Eti huyo Pweza anayetabiri katika mipira, akijaribiwa kwenye uchaguzi wa Uraisi Tanzania, then Akaingia kwenye Kopo la Upinzani, CCM watakubali uchaguzi ufanyike kweli?
Eti huyo Pweza anayetabiri katika mipira, akijaribiwa kwenye uchaguzi wa Uraisi Tanzania, then Akaingia kwenye Kopo la Upinzani, CCM watakubali uchaguzi ufanyike kweli?
J Jack Beur JF-Expert Member Joined Feb 26, 2010 Posts 222 Reaction score 246 Jul 13, 2010 #2 Huyo Pweza ni jini tu, tukumbuke majini ni roho na wanaweza kujibadili katika umbile lolote, otherwise it was just coincidence.
Huyo Pweza ni jini tu, tukumbuke majini ni roho na wanaweza kujibadili katika umbile lolote, otherwise it was just coincidence.