husoma ili tujibu mitihan...ko vitu visivyotokea kwenye mitihan yetu hatuvihangaikiag
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi ni kukariri zaidi kuliko kuelewahusoma ili tujibu mitihan...ko vitu visivyotokea kwenye mitihan yetu hatuvihangaikiag
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh ya kula mwaya na kuliwa pia[emoji85] [emoji87] [emoji144] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseee nilijua pweza ya kula [emoji41]
mweusi ana joto hatari,,,nyama yake siyo kavu, ladha yake haiishi kinywani
Tamu mpaka kisogonimweusi ana joto hatari,,,nyama yake siyo kavu, ladha yake haiishi kinywani
Ya chumbani hubaki chumbani [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwahyo bwana Mshana Jr mambo ya jicho dogo huko kwenu Tanga halali kabsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahah haya bana hfu mkuu nimekupm mchana aseeYa chumbani hubaki chumbani [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jr[emoji769]
Ahah mm ni mporipori wa mkoani huku kaka nani atanijua mm hohe hahe kwny nchi hii ya mkali wa makinikiaPoa niko kwa road ngoja nijongee... Naamini wewe ni mtu unayejukana
Jr[emoji769]
[emoji30][emoji44][emoji15][emoji30][emoji44][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio lazima ueleweLadha yake nyama tupu, nyororo tena mororo kabisa
Steki yake laini kama supu ya mapupu
Jicho lake kubwa tamu! Lakini jicho ndogo lina ladha adimu! Chukuchuku na pilipili manga! Mchuzi rojo, moto kama moto wa joto la sentigredi
Maringo ya pweza wangu hakyanani hayakifu! Ukimpapasa hapa pua yake husimana dede! Ulishawahi kumuona kifutu akitema sumu! Pua ya pweza wangu ni zaidi ya kifutu
Namlaza chini kwa upole pweza wangu kisha namkumbata kwa msonobari! Dede kama kangaruu! [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tupa kule kibwaya! Mwagia asali, nyunyiza yasmini.... Uturi.. Kisha laza kwa utulivu ndani ya shubaka la makhabati...! [emoji182][emoji173]raha ya karaha! Ni msonobari kutangulia kileleni akimwacha pweza bondeni
Utamu wa pweza asichine! Asichachuke! Asivunde! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio lazima uelewe... [emoji125] [emoji125] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app