Uzuri haya mambo ya kihistoria yana tabia ya kujirudia....
Mwaka 1987 Keith Houchens wa Coventry alifunga bao murua la kichwa dhidi ya Tottenham kwenye mechi ya fainali ya Fa cup. View attachment 165415 Huyu ni Van Shida...Spain hawatamsahau kwenye kumbu kumbu zao kisoka!