ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
Mkuu kwa swala la wezi na vibaka sidhani hata kwa lile dirisha la aluminium linauwezo wa kufanya ulinzi zaidi ya zile grill zinazotangulizwa ndani na ndio maana kuna nyumba watu wanaishi ndani bila zile aluminium kuwekwa nje wakisubiri wapate haela za kununulia, labda kuhusu ubora ndio unaweza kuzitofautisha alumium na zile za plastic. Nilipouliza kwa moja ya wauzaji kuhusu ubora wa PVC ukilinganisha na Aluminium alinijbu hivi,kweli kabisa, ni mazuri na ni fahari kuwa nayo unaonekana wa tofauti,ila ubora wake uko viki kukabiliana na vibaka na wezi kama mwenzangu alivyosema,wanaopindisha nondo,kukata nyavu watayashindwa haya?
Mkuu kwa swala la wezi na vibaka sidhani hata kwa lile dirisha la aluminium linauwezo wa kufanya ulinzi zaidi ya zile grill zinazotangulizwa ndani na ndio maana kuna nyumba watu wanaishi ndani bila zile aluminium kuwekwa nje wakisubiri wapate haela za kununulia, labda kuhusu ubora ndio unaweza kuzitofautisha alumium na zile za plastic. Nilipouliza kwa moja ya wauzaji kuhusu ubora wa PVC ukilinganisha na Aluminium alinijbu hivi,PVC nihasa kwajili ya nyumba karibu na bahari...
Na nimependa signature yako...Nadhani kuna tofauti kati ya PLASTIC na PVC (Polyvinyl Chloride)........Kuna jamaa wa kituruki hapo opposite na TANESCO mikocheni. Ukweli yanapendeza