Pvc id card

maingi73

New Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
3
Reaction score
3
Wadau naomba support zenu natengeneza vitambulisho vya plastic, bei yangu ni sh.4500/ kwa pc full package yaani holder na kamba ya kuning'iniza. Tenda hazijachanganya na sina ofisi maalum atakayakuwa na interest na biashara hii tuwasiliane kwa namba 0654309506.Email mmtambo73@yahoo.co
 
Weka picha ya hizo PVC ID CARD,wengine hatujui zinaonekanaje?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…