Putin:Russia plans to develop ties with African countries

Kiyoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,775
Reaction score
994

Russian President Vladimir Putin


Russia plans to develop relations with African countries and will give all assistance they need, Russian President Vladimir Putin said at a ceremony of receiving credentials from ambassadors of several foreign countries, including diplomats of several African states, at the Kremlin on Wednesday.

In particular, Putin noted that Russia was interested in developing ties with the Republic of Djibouti. "We are open for cooperation in international affairs, establishing contacts in economic and other spheres for the sake of strengthening peace and stability on the Horn of Africa," he said.

Putin noted that Russia also valued friendly ties with the Central African Republic. "Jointly with the international community, we will continue promoting effort taken by the republican interim leadership to attain political and inter-confessional accord and to improve a hard humanitarian situation," he added.

As for relations with Eritrea, the president noted that they were broadening. "We have close approaches to topical issues on international and regional agenda and a striving to establish trade and economic ties," he said.

As for ties with the Republic of Ghana, Putin noted that they were also developing in a traditionally constructive way. "We are interested to continue coordinated work in the United Nations Organization and other international structures, and we will continue assistance to the training of specialists for different industries of Ghana's economy," he noted.

Welcoming an ambassador from Zambia, Putin recalled that 50th anniversary of diplomatic relations between Russia and that country was marked recently. "We are interested in further promotion of bilateral cooperation, including traditional aid in training staff for that country and will continue talks on positions over issues of regional and international agenda," the president added.

The Russian leader also said that Russia intended to develop relations with Tanzania, "step up cooperation on the international scene and to bolster trade and economic cooperation." "We welcome Tanzania's active role in settling African problems," he added.


Source:http://en.itar-tass.com/russia/760546

 
Aisee nilisoma PhD thesis ya mtu juzi kati (bado ni work in progress) kuhusu China in Africa..kuna mahali amem quote waziri wa mambo ya nje wa Uganda anasema Wazungu walijaribu kwa muda mrefu kuiendeleza Afrika wameshindwa...huu ni muda wa Mchina... ilikuwa speech ya event ya kufungua project ambayo China wana fund kama nakumbuka...ilikuwa 2013...nadhani hapo M7 alikuwa na hasira za maswala ya Ushoga....

Afu author wa hii PhD mzungu...nakwambia sasa hivi ni biiiita
 
“We welcome Tanzania’s active role in settling African problems,” he added.
 
Let us see. USA nao wanamwambia baba mwanaisha whether West or East. Coz yabukigeugeu wake. Haaminiki
 
“We welcome Tanzania’s active role in settling African problems,” he added.

Hapo ame refer vichapo tulivyotembeza kwa wakorofi mbalimbali wanaotaka kuhatarisha amani ya afrika!
 
always negative opinions when it comes to serikali.
 
serikali yetu imvyopenda sifa za kijinga itaanza kugawa rasiliimali kwa warusi ili kweli ionekane iko active kwenye int'l cooperation.
Russia hawana viwanda hata wao wanaexport rasilimali ni moja ya nchi yenye rasilimali nyingi,walijisahau kuweka uchumi wa viwanda kwani mafuta na gesi yakiwaingizia mapato makubwa wakapuuza kuendeleza viwanda.
 
Russia hawana viwanda hata wao wanaexport rasilimali ni moja ya nchi yenye rasilimali nyingi,walijisahau kuweka uchumi wa viwanda kwani mafuta na gesi yakiwaingizia mapato makubwa wakapuuza kuendeleza viwanda.

Russia is back, Soviet ilipovinjika viwanda vya Russia viliyumba sana, sasa wamerudi magari wanatengeneza zana za kivita ndo usiombe, petroleum haswa gas Europe inaitegemea Russia over 85%. Ndo maana wanakiburi sana kwasasa muulize ujerumani na nchi zingine kwasasa wanalia Russia na yeye kawawekea vikwazo bidhaa zao zinaoza sasa
 

Takwimu za utegemezi wa 85% umeutoa wapi wewe? Ingekuwa hivyo, Urusi angeweza kuwanyanyasa sana EU kivikwazo. Nishati yake hasa ya gesi, wanaotgemea kwa 30% hivi.
 
Nimetama kipindi cha maswali na majibu asubuhi ua bunge la Urusi kwa waziri wa mambo ya nje wa Urusi, mbunge mmoja alizitaja Tanzania na Uganda kuwa nchi muhimu africa kwa urusi kujenga nazo uhusiano wa karibu.

Alisema ulimwengu ni mpana sana, zaidi ya EU na US. Akasema Africa ni potential nzuri kwa Urusi.
 
haya ni mawazo ya kiijinga ambayo waafrika na viongozi wetu tunayo. niliaangalia documentary moja inaitwa mugabe and the white african.
kuna litoto la waziri lilikuwa linataka shamba la mzungu likawa linasema "nyie watu wa magharibi mmeshindwa kutuendeleza sasa ni zamu ya watu wa mashariki" (wachina). kwanini msijjiendeleze wenyewe mamaezenu! muafrika bado hajiamini kuwwa anaweza kutengeneza magari, ndege, meli, simu, computer nk. mbaya zaidi muafrika hajui international finanance inavyokwenda. unafiikiri mrusi akifanya biashara na africa au na ufaransa wapi atapata zaidi?. na mbaya mbaya zaidi waafriiika don'tt feel pity fo theemselves. aargh, ngoja ninywe bia huku nikitafuta mbinu ya kuitoa familia yangu.
 
kulikuwa na mgomo wa OPEC miaka ya ya sabini mapema. norway waliathirika sana wakasema WTF. wakaanza kuchimba mafuta offshore. leo hii statoil ni moja ya mashirika makubwa duniani na wana sovereign fund kubwa sana. sisi ***** zetu FAO walisema kwenye bonde la mto rufiji tunaweza kutengeneza mabwawa 21 ya umwagiliaji na hydroelectric anakuja muhongo na habari kiasi cha maji. ngoja tuvumilie kuongozwa na watu ambao hawajui kile tunaapaswa kufanya kama taifa.
 
Kila sector tunavurunda...at least TPDF wanatutoa kimaso maso...na sie dunia inatusoma...thanks Jeiwiii (JWTZ)
nyumba kubwa TPDF gani wanatutoa kimasomaso?. tanzania ni nchi ya pili kama sio ya kwanza kwa sasa kwa kua na mifugo mingi. lakini sijaona Tpdf wanatengeeza buti zao wenyewe!. wanaagiza buti!?. hivi wwanaweza kutengeneza katyusha za WW2? je sare zao wanatengeneza wenyewe?. unajua hawa wangekuwa wako juu sana!?.
 
Mkuu mabandiko yako kwenye uzi huu yananiumiza kweli kwa sababu unapiga penyewe! Tanzania ni wa pili kwa kuwa na ng'ombe wengi africa ya kwanza nadhani ni Ethiopia au Sudan! Kwa kweli tatizo ni viongozi wetu tuliowaweka wameshindwa kutengeneza era nzuri na kuzisimamia hasa katika elimu! Sijui sasa hivi viwanda vya Bora na Nyumbu viko katika hali gani!
Juzi nimeumia kweli Waganda wanatangaza gari yao inayotumia nishati ya umeme! Nimeenda Uganda, wanatumia products nyingi sana za viwanda vyao vya ndani hasa agricultural inputs (mbegu, madawa ya magugu na magonjwa ya mimea, mbolea)! Hapo toa issue ya food products pamoja na sector ya mifugo! Uganda hata ujasiriamali wapo mbali sana and I can see a very bright future which is just few meters ahead of them!
Practically nahisi mfumo wa elimu ya Uganda upo practical oriented/emphasized zaidi kuliko wetu ambao upo more theoretical na kutishiana kwamba elimu ni ngumu hasa hasa sayansi (Na hii nimeiona hata kwa baadhi ya ma-lecturers vyuoni mwetu kufundisha kwa kutishia)! Kwa kweli tuna tatizo kubwa na muda si mrefu Uganda itatuacha mbali mno na hatutaweza kuipata kamwe kama hatutabadilika! Itabaki historia kama enzi zile za uhuru tunavyosema kiuchumi tulikuwa tuko sawa na nchi nyingi za Asia na zingine tulikuwa tunazizidi lakini leo tunaenda kuomba mvua Thailand!
 

Kwa sababu unasema unahisi sina tatizo.Raisi wa UGANDA alipokuwa mahafali ya chuo kikuu cha Kyambogo alisema waganda wasome masomo yaliyo practical oriented.Wamezidi kusoma masomo ambayo sio practical oriented ndio maana tatizo la ajira ni kubwa mno uganda.Akatoa mfano mtu ansoma digrii ya bachelor of arts in women studies akasema hivi mtu kama huyo yuko serous kweli?
 
Could be! U not sure,
you should be postive sometimes.
 

Mkuu hili sio tatzo la JWTZ n tatzo la serikali..

JWTZ wana uwezo mpaka wa kuteneza gari lakn watoe wapi udhamin.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…