Putin na ubabe wa kitoto!!

mihemko hii…. hamna kitu hapo
 
Sasa kaichukua buree!!
hahaha jamaa nadhani ni mjanja kuliko wewe kwa kiasi fulani.
Samahani kama nitakukwaza ila huo ndiyo ukweli. Huwezi kujifananisha nae.
Putin alitaka kutoa msaada sababu ya kuwalaghai ili achukue cremia!! But hawezi toa pesa mingi like dati bure bure tu!!!
 
Sasa kaichukua buree!!
hahaha jamaa nadhani ni mjanja kuliko wewe kwa kiasi fulani.
Samahani kama nitakukwaza ila huo ndiyo ukweli. Huwezi kujifananisha nae.

Siwezi kua kama putin! Mbili hana ubabe wa kuwatingisha Eu and america!! Hv kweli china anatoa misaana bure?? Hiyo minofu aliyopewa mchina mtwara na bwagamoyo unaijua kweli???
 
Siwezi kua kama putin! Mbili hana ubabe wa kuwatingisha Eu and america!! Hv kweli china anatoa misaana bure?? Hiyo minofu aliyopewa mchina mtwara na bwagamoyo unaijua kweli???
WEe unaijua?
 
Hadi Putin kumpigia Obama simu na kutaka kuongea kuhusu huu mgogoro ili mambo yawe solved diplomaticaly tayari Putin kashindwa maana Obama atawaambia watoe majeshi yao Cremia na Ukraine borders
 
Hadi Putin kumpigia Obama simu na kutaka kuongea kuhusu huu mgogoro ili mambo yawe solved diplomaticaly tayari Putin kashindwa maana Obama atawaambia watoe majeshi yao Cremia na Ukraine borders

Na ndo hiyo proposal ambayo Obama amewapa urusi! Mara ya kwanza waligoma but after visa and economically sanction kaamua its better yaishe diplomatically
 
Hivi kweli Putin anaweza kuusoma huu uzi wako ?
 
Hivi kweli Putin anaweza kuusoma huu uzi wako ?

After kuamuka umenawa uso wako vizuri?? Umetoa mapovu ya mdomon na tongotongo zote??? Maana naona hujaswaki and hujanawa USO! Kanawe kwanza ndo uje tena jamvini!!!
 
Usiwe mvivu,IMF wanatoa mpunga kwa Ukraine,huyo Putin wako kashaanza kuomba poo, adui mwombee njoo!!!

mkuu ni mkopo wa dola bilioni kumi na karibia ukraine anafikia kiwango cha kutoweza kukopa tena so hamna cha kujivunia wala kufurahia hapo.
 
Na ndo hiyo proposal ambayo Obama amewapa urusi! Mara ya kwanza waligoma but after visa and economically sanction kaamua its better yaishe diplomatically

with all respect kwako tujiulize swali la msingi wananchi wa crimea wamepiga kura ya kutaka kuwa part ya urusi na viongozi wao pia wamepiga kura hiyo na urusi wamekubali kwa maana hiyo wana uhalali wa kuclaim nipart yao,linganisha coincidence hiyo na serikali zilizokuwepo madarakani za uarabuni zilivyopinduliwa bila ya kujumuisha upigaji wa kura na still wakapata support ya marekani na umoja wa mataifa pamoja na kupewa silaha kuitoa madarakani serikali iliyokuwepo i.e libya,misri,tunisia na sasa syria alafu jiulize akina nani wanatumia ubabe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…