Vita isikie kwa jirani tu, nashangaa humu watu wavoshadadia
Bado yupo ila anaishi kwa wasiwasi, kwa sasa hana amani ya maisha.Mi nilijua puttin ameshafariki zamani!!
Kumbe yupo!!
Putin wa sasa siyo yule tuliyemzoea wakati vita inaanza, wa sasa kapoa sana.Vita kaanzisha yeye na bado anaona anaonewa[emoji16][emoji16].
Jamaa bado ubabe anao, ila safari hii unaishia Ukraine, akivuka hapa ntamuheshimu sana Bwana PutinKuna wakati inabidi tuache inyeshe ili tujue panapovuja.
Putin amejifanya mbabe Sasa ngoja tuone ubabe wake utaishia wapi
Nakasura kake kapakaPutin wa sasa siyo yule tuliyemzoea wakati vita inaanza, wa sasa kapoa sana.
NATO haisambariki kirahisi, leo hii Finland na Sweden ziko mbioni kujiunga.Kwamdomo wake alidai NATO imesambaratika haiko imara aulaumu ujasusi wake mbovu
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mwamba ana matatizo nimeingia Vlad kijijini ndani nikaomba Kwenda msalani nimekuta wale Pro Putin wametengeneza floor ya choo chao Kwa rangi ya bendera ya Ulaya hahaha
Kifupi wamechanganyikiwa, nikamuuliza Kwanini umefanya Hivi akasema is about secrecy don’t ask
View attachment 2221694
Britanicca
Jamaa bado ubabe anao, ila safari hii unaishia Ukraine, akivuka hapa ntamuheshimu sana Bwana Putin
Kiukweli kwny suala zima la logistics Urusi kwa sasa inaonja joto la jiwe na hii vita haishi leo wala kesho, magharibi wamejiandaa kwenda nayo kwa muda mrefu.ukiona anaanza kulia lia ujue ubabe umeisha.
mwenzie kila siku anapewa misaada ya kivita na fedha.
Vita ni gharama
Sasa unataka kusema sio mbabe?Hivi ndivyo unavyoweza kusema, zile tambo zake za kutunisha misuli alizokuwa nazo wakati anaanza kuivamia Ukraine zinazidi kufifia. Putin kwa sasa amekuwa ni mtu wa kulaumu na kulia kwenye hotuba zake tofauti na ilivyozoeleka hapo hawali, hizi ni dalili za kwamba haoni ushindi wa karibuni kwa vita aliyoianzisha.
Ni wazi kwamba kwa sasa inawezekana maji yameanza kufika shingoni mwa Bwana Putin.
___________________________________________
Putin alaumu mataifa ya magharibi kwa uvamizi wa Ukraine
Rais wa Russia Vladimir Putin Jumatatu ameyalaumu mataifa ya magharibi kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine.
Putin amesema kwamba Russia ilikuwa ikijibu vitisho kutoka kwa mataifa hayo karibu na mpaka wao. Akihutubia wanajeshi wakati wa maadhimisho ya kushindwa na wanazi wa Ujerumani kwenye vita vya pili vya dunia, Putin alizungumzia mada ya Russia kwa dhamana ya ulinzi, ambapo Russia ilitoa miezi kadhaa kabla ya uvamizi wake kwa Ukraine hapo Februari 24, akirejea kusema kwamba kamwe hakuwa na mipango ya kumvamia jirani yake.
Kabla ya uvamizi huo, maafisa wa Marekani pamoja na NATO walikutana mara kadhaa na wale wa Russia, lakini baadhi ya madai ya Russia yalikataliwa kama vile kuahidi kuwa Ukraine kamwe haitojiunga na NATO. Putin ameongeza kusema kwamba mataifa wanachama wa NATO hawakutaka kutusikiliza na kwamba walikuwa na mipango taofauti kabisa.
Mshauri wa rais wa Ukraine Mykhailo Podolyak kwa upande wake amesema kwamba Russia haikuwa na sababu yoyote ya msingi yakulivamia taifa lake, akiongeza kwamba mataifa wanachama wa NATO hayakuwa na mpango wa kuishambulia Russia kamwe.
View attachment 2221651
Wewe Putin umemuona wapi? Unataka kumlinganisha na msanii wenu wa ze comedy?Putin wa sasa siyo yule tuliyemzoea wakati vita inaanza, wa sasa kapoa sana.
Hivyo ndivyo ulivyoweza kutafsiri[emoji16]Hivi ndivyo unavyoweza kusema, zile tambo zake za kutunisha misuli alizokuwa nazo wakati anaanza kuivamia Ukraine zinazidi kufifia. Putin kwa sasa amekuwa ni mtu wa kulaumu na kulia kwenye hotuba zake tofauti na ilivyozoeleka hapo hawali, hizi ni dalili za kwamba haoni ushindi wa karibuni kwa vita aliyoianzisha.