Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,284
- 30,158
Hii ndiyo akili ya mtanzania wa kawaida, dira 2050 tutakuwa wapi kwa akili km hizi!View attachment 3442846
Wakuu hapa JF, Great Thinkers, Putin aliyeonana na Trump jana huko Alaska ni Putin halisi au muigizaji.
Putin ni kiboko!
Haya Great Thinker, una Double wa mama yako?Hii ndiyo akili ya mtanzania wa kawaida, dira 2050 tutakuwa wapu kwa akili km hizi!
🤔🤔View attachment 3442850
Kwa usalama hawa jamaa wako anga nyingine!!!!
Putin anajua lugha nyingi hila hataki kuongea hata english anaijua vizuri tu hila anataka kuongea tu lugha yake nnakumbuka kuna siku mkalimani alitafsiri kutoka ki russia alivyo translate to english puttin akamwambia mkalimani hakumaanisha hvyo inamaana anafanya kusudiHuu mchezo WA body double niliustukia mapema sn tangu niliposkia ile press ya ikulu.
Kua wataenda kwenye mazungumzo alaska na wataambatana na translator (mkalimani) na watatumia lugha ya nyumbani kwenye mazungumzo ya amani.
Nikawaza🤔
Yanini kutumia kurusi wakt Putin mwenyewe anajua kuongea na kukiandika kingereza vizuri sana
LEO NDO NMEPATA JIBU
You've to be proud with you only you and none else. Wabongo tuko proud mno kutaka kuonekana Kama mzungu ama kwenda kwa wazungu anaona ni Kama ametoboa.Putin anajua lugha nyingi hila hataki kuongea hata english anaijua vizuri tu hila anataka kuongea tu lugha yake nnakumbuka kuna siku mkalimani alitafsiri kutoka ki russia alivyo translate to english puttin akamwambia mkalimani hakumaanisha hvyo inamaana anafanya kusudi
Mdugu jua Putin ni taasisi ya Russia sio mtu.. wale ni wakunga wa Ujasusi Duniani.View attachment 3442846
Wakuu hapa JF, Great Thinkers, Putin aliyeonana na Trump jana huko Alaska ni Putin halisi au muigizaji.
Putin ni kiboko!
kwa hiyo Rais Trump aache kazi zake aende kuonana na putin feki?View attachment 3442846
Wakuu hapa JF, Great Thinkers, Putin aliyeonana na Trump jana huko Alaska ni Putin halisi au muigizaji.
Putin ni kiboko!
🤣Kwenye mahojiano kati yangu na vyombo vya habari vya kimataifa kama BBC na CBS ya USA nilielezea hili.
Na kuendelea kuvaa suti Na jeans badala ya ngozi na majani.I wish hata kisukuma kiwe lugha ya Taifa Halafu kiswahili kiendelee kuwa lugha ya kimataifa