Putin calls Obama to discuss Ukraine

Putin calls Obama to discuss Ukraine

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
24,706
Reaction score
44,067
Raisi wa Russia Vladimir Putin amempigia simu Raisi wa Marekani Barak Obama kumuomba wajadili swala la mgogoro wa Ukraine kwa njia ya majadaliano. Raisi Putin katika mazungumzo hayo yaliyochukua saa nzima amemuomba Rais Obama Mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na Russia wakutane ili kujadili ile rasimu ya Marekani kuhusu kutatua mgogoro huo kwa amani ikiwa ni pamoja na kuviondoa vikosi vyote vya Russia jimboni Crimea virudi makambini mwake na pia kuruhusu Jeshi la Umoja wa Mataifa kwenda Crimea kulinda watu wa Jamii ya Russia. Raisi Putin amepiga simu hiyo wakati Raisi Obama yupo Nchini Saudi Arabia akimalizia ziara yake ndefu Nchini humo akitokea Ulaya ambapo swala la Ukraine lilishika kasi.

NB:Hii inaonyesha Raisi Putin ameshikwa pabaya na vile vikwazo vya kiuchumi ndio maana sasa hivi ameanza kunywea na kuwa mpole na mdogo kama Piritoni.

Cc. Elungata.
 
sidhani,najua wameongea jana,walichoongea ntakipata soon,lakini sicho unachokisema.

Ntarudi hapa.
 
Putin, Obama discuss solution to Ukraine crisis | Boston Herald.
Putin hawezi kuachia crimea hata siku moja.mpaka sasa majeshi ya russia yanazidi kudeploy kama km 50 toka mji wa kiev,yakiwa tayari kuingia east ukraine at the short notice.yamewekwa hapo makusudi ili kama marekani ama Nato wataonekana kufanya mobilisation ya kuisapoti ukraine ama kwa majeshi ama kuwapa silaya basi majeshi ya russia yatakua ndani ya kiev ndani ya masaa mawili kabla hata huo msaada wa marekani haujatua ukraine.kumbuka russia wako na military satelite ambazo ziko advanced uwezo ambao ni marekani,china na russia pekee ndo wanao,kwahiyo wanaweza kuona kupitia satelite any military movement duniani kwahiyo kitendo cha marekani kuanza kuwapa silaha ukraine kitaonekana kabla hata ya silaha hazijawafikia waukraine na hawatapata mda wa kuzitumia.
 
Mwaka 2008 wakati Georgia wanapigana na Russia,marekani walijaribu kutoa msaada wa silaha kwa georgia ,matokeo yake baadhi ya silaha zilitekwa na askari wa kirusi.
Hapa pichani wanajeshi wa Russia wakiikokota Humvee US military jeep kwa kutumia armoured personal carrier.
080819-georgia-humvee-730a_001.grid-6x2.jpg
 
Daaaaa kama vikwazo vya kiuchumi vinamuumiza russia. Ingekua tanzania je?
 
Putin, Obama discuss solution to Ukraine crisis | Boston Herald.
Putin hawezi kuachia crimea hata siku moja.mpaka sasa majeshi ya russia yanazidi kudeploy kama km 50 toka mji wa kiev,yakiwa tayari kuingia east ukraine at the short notice.yamewekwa hapo makusudi ili kama marekani ama Nato wataonekana kufanya mobilisation ya kuisapoti ukraine ama kwa majeshi ama kuwapa silaya basi majeshi ya russia yatakua ndani ya kiev ndani ya masaa mawili kabla hata huo msaada wa marekani haujatua ukraine.kumbuka russia wako na military satelite ambazo ziko advanced uwezo ambao ni marekani,china na russia pekee ndo wanao,kwahiyo wanaweza kuona kupitia satelite any military movement duniani kwahiyo kitendo cha marekani kuanza kuwapa silaha ukraine kitaonekana kabla hata ya silaha hazijawafikia waukraine na hawatapata mda wa kuzitumia.

Mkuu kipindi kile cha Georgia Marekani/Bush alikuwa yupo bize sana na vita vya Iraq na Afghanistan so asingeweza kufanya lolote lile kwa wakati ule. Na sijui kama umepitia Proposal ya Marekani kuhusu kusuluhisha huu mgogoro,kuna vipengele vinasema kuwa Russia ni lazima waviondoe vikosi vyake vilivyopo Crimea virudi vilipokuwa mwanzoni,Russia iondoe vikosi vyake vyote alivyo vi-mobilise mpakani mwa Ukraine na pia kitumwe kikosi cha kimataifa kwa ajili ya kuwalinda hao wa Crimea wenye asili ya Urusi.

Na kama kumbukumbu yako ipo sawa,mwanzoni kabisa wakati Marekani/John Kerry anatoa hii Proposal kwa Urusi,Urusi kupitia kwa Waziri wake wa mambo ya Nje na baadae Putin mwenyewe kwa mdomo wake walisema kabisa hii Proposal ya Marekani haikubaliki na wala Urusi haina muda wa kujadili na wala hawatakubali lolote lile kwa hii Proposal. Sasa leo hii inakuaje Putin huyu huyu ampigie Obama simu kumuomba Mawaziri wa mambo ya Nje wa hizi Nchi mbili wakutane wajadili ile Proposal ya Marekani ambapo mwanzoni walikataa kata kata wakisema kuwa its not applicable. Na kwanini Putin/Russia iwe tayari sasa hivi kujadili hii Proposal baada ya kuwekewa vikwazo na sio mwanzoni kabla ya vikwazo?
 
Kweli US ni mtemi, akisema vikwazo viondolewe kwa Mrusi, Ulaya yote watasema Ndioooooo.
 
sidhani,najua wameongea jana,walichoongea ntakipata soon,lakini sicho unachokisema.

Ntarudi hapa.

Kwanini haudhani haya niliyoleta hapa jamvini si sahihi?source ya hii taarifa yangu nimeipata BBC,so kama unataka kujiridhisha ingia BBC ili upate uhakika wewe mwenyewe.
 
Kweli US ni mtemi, akisema vikwazo viondolewe kwa Mrusi, Ulaya yote watasema Ndioooooo.

Mkuu kuna watu humu ndani walikuwa wabishi sana kuhusu impacts ya vikwazo alivyowekewa Urusi na West Countries,na ni juzi tuu Alhamis Naibu waziri wa Uchumi wa Urusi alitoa tahadhari kuwa Uchumi wa Urusi unakaribia ku-collapse kutokana na vikwazo vya West. Na ukija kwenye scenario halisi ya hivi vikwazo Marekani kama Marekani hata hathirika sana kiasi cha kuharibu mfumo mzima wa uchumi wake,Nchi ambazo zitahathirika ni za Ulaya ni hii ni kwa muda mfupi tuu,na hapo juzi tuu Obama aliwaambia wazi kabisa hawana budi kumwekea Urusi vikwazo japokuwa anafahamu kuna baadhi ya Nchi zitahathirika kwa asilimia kubwa zaidi ya nyingine,so they should take collective responsibility kwa hili.
 
[h=1]Putin calls Obama to discuss Ukraine[/h] Previous
Next

_73892106_021702315-1.jpg
Barack Obama is visiting Saudi Arabia following a trip to Europe
Continue reading the main story [h=2]Ukraine crisis[/h]

Russia's Vladimir Putin has telephoned US President Barack Obama to discuss a possible diplomatic solution to the crisis in Ukraine.
They considered a US plan for a halt to Russia's military build-up up on the border with Ukraine, a troop withdrawal in Crimea, and moves to protect the Russian speakers in the region.
Mr Putin stressed the threat posed by "extremists" in Kiev, the Kremlin said.
Russia's annexation of Crimea has sparked international condemnation.
In the hour-long phone call, the US president urged Mr Putin to avoid the build-up of forces on the Russian border.
"President Obama underscored to President Putin that the United States continues to support a diplomatic path... with the aim of de-escalation of the crisis," the White House said in a statement.
"President Obama made clear that this remains possible only if Russia pulls back its troops and does not take any steps to further violate Ukraine's territorial integrity and sovereignty."
_73892746_73892745.jpg

Mark Mardell reports: ''It does sound like the Russians are backing away from further conflict''

The two leaders agreed that their foreign ministers would meet soon to discuss the next steps.
The US proposal, developed in consultation with Ukraine and other European countries, includes the deployment of international monitors in Crimea to protect the rights of Russian speakers, and the return of Russian troops there to their bases.
Mr Obama received Mr Putin's call in Saudi Arabia - the latest leg of a trip which also took the US president to Europe where the Ukraine crisis dominated discussions.
The Kremlin said in a statement that the Russian president drew Mr Obama's attention to "the continued rampage of extremists" in Kiev and various regions of Ukraine.
It said these individuals were "committing acts of intimidation towards peaceful residents, government authorities and law enforcement agencies... with impunity".
Mr Putin suggested examining possible steps the global community could take to help stabilise the situation, the Kremlin statement said.
He also expressed concern at an "effective blockade" of Moldova's separatist region of Trans-Dniester, where Russia has troops.
Pro-Russian politicians there have sent a request asking to join the Russian Federation.
Nato fears Russia could use its forces in Trans-Dniester to invade the breakaway region.
_73892486_021700123-2.jpg
President Putin welcomed military leaders to the Kremlin on Friday
Meanwhile in New York, the UN Secretary General Ban Ki-moon said he had been assured by President Putin that the Russian leader "had no intention to make any military move" into Ukraine.
Russia's reported troop movements near Ukraine's eastern border - described as a "huge military build-up" by Nato - has triggered fears that Mr Putin's interest in Ukraine is not limited to Crimea.
The BBC's North America Editor, Mark Mardell, said Friday night's phone call could indicate tentative progress towards a diplomatic solution - just when fears were growing in the West that Russia could be about to stage an invasion of eastern Ukraine.
The US and its allies have imposed sanctions on members of Mr Putin's inner circle, and threatened to take action to target the Russian economy, in response to Moscow's actions in Crimea.
Moscow formally annexed Crimea after the predominantly ethnic Russian region held a referendum which backed joining Russia.
Kiev and the West condemned the vote as "illegal".
The move followed months of street protests, which led to the overthrow of pro-Kremlin Ukrainian President Viktor Yanukovych in February.
_73611135_ukraine_crimea_russia_map3_624.gif
 
Raisi wa Russia Vladimir Putin amempigia simu Raisi wa Marekani Barak Obama kumuomba wajadili swala la mgogoro wa Ukraine kwa njia ya majadaliano. Raisi Putin katika mazungumzo hayo yaliyochukua saa nzima amemuomba Rais Obama Mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na Russia wakutane ili kujadili ile rasimu ya Marekani kuhusu kutatua mgogoro huo kwa amani ikiwa ni pamoja na kuviondoa vikosi vyote vya Russia jimboni Crimea virudi makambini mwake na pia kuruhusu Jeshi la Umoja wa Mataifa kwenda Crimea kulinda watu wa Jamii ya Russia. Raisi Putin amepiga simu hiyo wakati Raisi Obama yupo Nchini Saudi Arabia akimalizia ziara yake ndefu Nchini humo akitokea Ulaya ambapo swala la Ukraine lilishika kasi.

NB:Hii inaonyesha Raisi Putin ameshikwa pabaya na vile vikwazo vya kiuchumi ndio maana sasa hivi ameanza kunywea na kuwa mpole na mdogo kama Piritoni.

Cc. Elungata.

acha uongo angalia CNN saiz
 
Russia wangekata supply ya gas kwa week moja huko ulaya tuone na uchumi wa ulaya utakavyotikisika
 
Tukubali tusikubali rusia haitorudi nyuma kuiachia crimea hata sim aliyompigia obama haitomfanya putin arejee nyuma kuiachia crimea na cha ziada crimea wamepewa msamaha wa kodi,na pia wizara kwa ajiri ya crimea inatarajiwa kuundwa soon.
 
Back
Top Bottom