ISIS sio mchezo..!! naona Putin analia lia tu, ISIS ndugu yao hapa JF Faiza Fox.. ila ISIS is U.S & Insrael agent to destroy Muslim world..!! Chezea U.S, Israel akili kichwani.. Ukitumia akili, unawagombanisha ndugu kwa ndugu wanamalizana, ww unatawala na kupenyesha maslahi yako..!! Arab Spring wamepigana wee, U.S, Israel, wanachochea tu, wakaona haifanyi vizuri akageuza muziki to ISIS.. muziki hatari huu..!!
ISIS sasa imeshindikana to be controlled..!! U.S sasa anaanza tena kuipiga ISIS.. U.S kaigeuka jini alilolitengeneza, sbb limevuka mipaka ya walichotegemea.. linawaua hadi wazungu sasa.. U.S ndio anaanza kuipiga upya ISIS..!! Huu mchezo hautaki hasira, acha maneno weka muziki..