Putin:Anena awashutumu maadui zake na amesema hatoingia kwenye mtego

undefine

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
439
1,000
Putin:"A crime has been committed and it was without doubt a provocation aimed at spoiling the normalization of Russia-Turkish relations and spoiling the Syrian peace process which is being actively pushed by Russia, Turkey, Iran and others.

Putin:"There can only be one response - stepping up the fight against terrorism. The bandits will feel this happening."

Putin:"We must know who directed the killer's hand," Putin told Foreign Minister Sergei Lavrov, Sergei Naryshkin, the head of his SVR foreign intelligence service, and Alexander Bortnikov, the head of the domestic FSB security service.


Putin:"I also ask you to implement the agreed proposals on strengthening security at Russian diplomatic facilities abroad.


waziri wa mambo ya nje wa Urusi Lavrov Said na yeye pia amesema
  • "We are convinced that those who planned this barbaric act aimed to undermine the process of normalization of Russian-Turkish relations, mainly in order to prevent effective counter-terrorist measures in Syria," Lavrov said.
 

Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,270
2,000
Hakuna atakacho fanya zaidi tu kulia lia na kuwaumiza Syria wa watu
 

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
9,102
2,000
Putin kazi anayo,tena na huko usa ndio wakina mad dogo wamekabidhiwa rungu la uwaziri wa ulinzi,sijui itakuaje.
 

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,011
2,000
ISIS sio mchezo..!! naona Putin analia lia tu, ISIS ndugu yao hapa JF Faiza Fox.. ila ISIS is U.S & Insrael agent to destroy Muslim world..!! Chezea U.S, Israel akili kichwani.. Ukitumia akili, unawagombanisha ndugu kwa ndugu wanamalizana, ww unatawala na kupenyesha maslahi yako..!! Arab Spring wamepigana wee, U.S, Israel, wanachochea tu, wakaona haifanyi vizuri akageuza muziki to ISIS.. muziki hatari huu..!!

ISIS sasa imeshindikana to be controlled..!! U.S sasa anaanza tena kuipiga ISIS.. U.S kaigeuka jini alilolitengeneza, sbb limevuka mipaka ya walichotegemea.. linawaua hadi wazungu sasa.. U.S ndio anaanza kuipiga upya ISIS..!! Huu mchezo hautaki hasira, acha maneno weka muziki..
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,151
2,000
Waliamua Kumuua Balozi kama njia ya kufifisha uhusiano kati ya Russia na Turkey.
Ila Russia wanajua lengo lao ndio maana wameamua kuendelea na mpango wao.
 

DUBULIHASA

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
1,856
2,000
Baloz wa watu kafa nikiichek ile clip cna hamu..... AKINA PUTIN WANAENDELEA NA SIASA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom