wamefanikisha moja ya mambo magumu sana, sasa waangalie swala la maji maana shughuli za kilimo zote zimekufa na kiev ni km hawana mpango wa kucompromise
wamefanikisha moja ya mambo magumu sana, sasa waangalie swala la maji maana shughuli za kilimo zote zimekufa na kiev ni km hawana mpango wa kucompromise
alitumia weledi wa juu sana kuichukua crimea huyu jamaa kweli alikua spy hivi western hasa hawakupata hata tetesi kabla ya lile zoezi la referendum ya crimea
bila crimea russia ingepata shida ya navy base yake ya maji ya moto