Push To Talk: MTAALAMU ANIFAFANULIE

Push To Talk: MTAALAMU ANIFAFANULIE

Given Edward

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
850
Reaction score
203
Salam wakuu,
Kuna hii feature inaitwa push to talk kwenye simu. Naomba maelezo, yasiwe ctrl+c na ctrl+v yaani copy na paste.
 
ptt ni feature maarufu katika two way radio communication.yaan one way voice traffic esp radio calls,.you push the switch and disable the receiving while ur ar transmitting.then once u release ndio unareceive ambacho the other end ana- PTT.Ipo katika simu lakini ni nework provider dependendant,kama hawajaweka basi inabaki fenicha
 
Ahsante mkuu. Kwa hapa tz mitandao inayosupport ni ipi na ninawezaje kutumia PTT?
 
kuna software inapatikana kwenye os ya android so kama utakuwa na jamaa yako mwenye nayo wote mwaweza kuchat free na hiyo ptt
 
ptt ni feature maarufu katika two way radio communication.yaan one way voice traffic esp radio calls,.you push the switch and disable the receiving while ur ar transmitting.then once u release ndio unareceive ambacho the other end ana- PTT.Ipo katika simu lakini ni nework provider dependendant,kama hawajaweka basi inabaki fenicha

/
On addition u use tha same channel for tx na reception thats for radio comm
on mobile we have two chnl for tx and rx I don have Idea kama its usefull
 
Back
Top Bottom