Karibu asilimia 90 ya vijana wa kiume na asilimia 70 ya vijana wa kike hujichua au kupiga punyeto.na baadhi ya watu wazima huanza punyeto wakiwa wazima au huendelea na kupiga punyeto pamoja na kufanya tendo la ndoa .Punyeto ni kitendo cha kujistarehesha kwa kutumia viungo vya uzazi binafsi bila ya mtu wa jinsia tofauti.Nchi nyingine hutengeneza vifaa mfano wa uume na uke bandia na watu hununua vifaa hivyo madukani na kutumia wapendavyo.
Inasemekana Dada Fulani alizoea kupiga punyeto sana hata akatoboa matundu kwenye chupi zake zote.hata akiwa ndani ya basi.ofisini. anajichua.watu wengine hujichua kwa sababu ya kuona aibu au hofu ya kuwatafuta watu wa jinsia tofauti na kujamiana nao kawaida.na wengine hukwepa magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi au hofu ya kubeba mimba kwa upande wa wasichana.wanaume hutumia sabuni na wanawake hutumia vitu kama ndizi, mishumaa au karoti au tango mradi tu kuigiza jinsi uume ufanyavyo ukiwa ndani ya uke.
KARIBU KWA MICHANGO ZAIDI