Uchovu unao sababishwa na punyeto nauvulia kofia, yaan kuamka tu asubuhi n kimbembe unaweza stuka toka usingizin mapema tu, lakin kutoka kitandan ina weza kukuchukua lisaa ata na zaidi
Kifua kimejaa utadhan mtu mwenye nimonia kukimbia kidogo tu ulimi huo uko hoi kama mbwa, punyeto iliyo kithiri ni hatari sana
Madhara uliyo ainisha yapo na wengi tu yanawatokea ata kama sio wote(naona kuna wengine wanabisha) lakin jambo la msingi n kwamba unapona na kusahau kabisa.
Nenda pharmacy katafute vidonge vya vitamn vile vinauzwa kimoja buku kula mwez mzima, fanya mazoezi, tafuta mwana saikoloji akufanyie counseling uache na punyeto. Misosi pia jitahidi ule sana nafaka, nyanya chungu, matunda na mizizi ya bamia ukaushe uwe unatafuna tafuna tu for funny, utasahau ata kama ulishapata hayo madhara