Punguzo la bei ya cement & mabati Arusha (tarehe4 May)

Punguzo la bei ya cement & mabati Arusha (tarehe4 May)

Jenganajeco

Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
16
Reaction score
9
Tunapenda kuwajulisha wananchi wa Mtoa wa Arusha kwamba Kunapunguzo la bei kwa
Cement na Mabati kama ifuatavyo:
Items:
1.Cement 32.5grade 50Kgs # Tshs11,500/=
2.Mabati 30g *3mt kwa pc16 # Tshs.270,000/=
Research JECO tuliyofanya inaonyesha Vifaa vya ujenzi vitazidi kushuka bei madukani na
bei ya vifaa hivi utavipata kwa Olotu Trading Company Mianzini na Bulk Distributors.
Endelea kutufatilia kupata punguzo la bei za vifaa vya ujenzi.
Contact us:
Mobile: 0684 322 333 au 0766 313 300
Email: jecoarusha@gmail.com
 
kumbe vitu arusha ghali sana cement extra/plus huku dar 9500 dangote au twiga .
 
Mkuu
Jenganajeco vipii kuhusu
Mabati aina ya MaxCover, it4 and it5 bei zake zimekaaje..?
 
Back
Top Bottom