Punguza unywaji wa pombe, ukiweza acha kabisa

Sitisha mara moja kuishi. Kuishi ni hatari kwa afya na usalama wako. Yazime maisha yako ili usikumbwe na yote hayo
 
Saudia tu huko dini ilipoanzia wamefungua Bar mwaka huu 😂😂😂 yeye anazungumza kitu gani bwana!!!
 
Naomba kujua kwa mimi nayekunywa pombe mara moja kwa mwezi matatizo ntakayopata ni yapi?
 
Ahsante kwa ushauri wako ila unaujua utamu wa pombe au unausikia tu kwenye bomba?

Ushawahi kunywa safari ya baridi kwenye jua kali?

Ulishawahi kunywa jack Daniel au John walker mizinga ya kiume ukiwa na washikaji zako wa faida?

Acha grants za kike ambazo huwa sipendelei bablai,
Je,ushawahi kunywa pombe za kifaransa mixer mizinga ya kijerumani,au umeacha kuhubiri kanisani unaamua kuja upande wetu?

Wee huu upande unajitambua sana wewe endelea kuchunga kondoo wako tuache

I love Jack Daniel Spirit original
 
Hizi ni pombe za viwandani tu amaa unazisema hadi zile zetu local, ulanzi, ugimbi, mbege , komoni, kangala, choya, wanzuki , chang’aa n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…