Punchlins

Punchlins

mqaxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
343
Reaction score
562
Habari za sasa wakuu..
Hivi nyimbo za hip hop ni lazima ziwe na punchlines Mimi kwa mtazamo wangu naona ni lazima kuwepo na hizo Punch lines. Ili zinoge na kuleta flavour halisi ya kihiphop....

Baadhi ya punchlines....
Young killer-a new girlfriend story
"Anarudi mwepesi kama table ya Pili"

Dizastavina-nobody is safe 2
"Dizasta vina ni kina joh sabini Wakazi kadhaa wa kitongoji mkija njooni makini"

Young killer-sinaga swagga remix
"We kibaka mtumia nguvu kibao akili kisoda hautafika mbali kama kuku aliyekula Michele jioni naye akiliwa na wali"

Ohe incredible-the incredible
"Snitch akiniboa nampa haswa
Namchojoa namkoboa nampa chata
Me ndo emcee nayekuboa nakunyoa unavotaka"

P Mawenge-too expensive
"Semeni discipline sina me bidhaa adimu huwezi nipata hata Beijing China"

Hizo ni baadhi tu,hivi ni nini maana halisi ya PUNCHLINE?
TUPIA PUNCHLINES UNAZOZIKUBALI KUTOKA KWA WANAHIP HOP UNAOWAKUBALI...

TUENDELEE KUJIKINGA NA KORONA
KAA NYUMBANI KAMA HUNA ULAZIMA WA KUTOKA
OSHA MIKONO MARA KWA MARA

PIGA NYUNGU.....

NAWASILISHA
#mqaxy
 
Back
Top Bottom