kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,142 Reaction score 24,432 Nov 16, 2017 #21 kama uliwaona peleka taarifa polisi wakamatwe!
Kinga kingdom JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 769 Reaction score 847 Nov 16, 2017 #22 Tz Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,534 Reaction score 81,267 Nov 16, 2017 #24 Aluta Continua.. R.I.P diwani wangu. Damu ya mtu haimwagwi bure, najua ipo siku tu Jah ataonyesha. Mbele kweupe. Muda tu.
Aluta Continua.. R.I.P diwani wangu. Damu ya mtu haimwagwi bure, najua ipo siku tu Jah ataonyesha. Mbele kweupe. Muda tu.
Distinction JF-Expert Member Joined Sep 20, 2014 Posts 747 Reaction score 399 Nov 16, 2017 #25 mfilisti said: amefariki leo. Kifo chake kimetokana na kukatwa katwa kwa kutumia mapanga na hii MIPANYA ya sisi Emu wakati akitoka kwenye kampein za udiwani Click to expand... una uhakika waliomkatakata ni sisi Emu? kwenye vitu serious kama hiv ebu tujitaid kuifadhi jazba zetu pembeni,, ni kweli inauma sana lakini .......... R.I.P
mfilisti said: amefariki leo. Kifo chake kimetokana na kukatwa katwa kwa kutumia mapanga na hii MIPANYA ya sisi Emu wakati akitoka kwenye kampein za udiwani Click to expand... una uhakika waliomkatakata ni sisi Emu? kwenye vitu serious kama hiv ebu tujitaid kuifadhi jazba zetu pembeni,, ni kweli inauma sana lakini .......... R.I.P