Pumbavu sana nani mzee!!!???

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,772
Yaani ninyi hamna akili kabisa nilipokuja kuchumbia swali kubwa lilikuwa kazi
yangu, Nimewaambia kwa sasa nasajili laini za Tigo, Voda na Airtel munaanza
mbona Mzee?? kwanini hamkuanza kuushangaa uzee wangu? Yaani baada
ya kugundua tu kuwa gari nililokuja nalo si la kwangu nimesindikizwa tu na msamalia
mwema ndo mnaanza NYOKO NYOKO?

Wapumbavu wakubwa ninyi..... Sasa subirini mpango wangu wa kuvunja benki
ya ushirika ukikamilika mutaniita tu kijana.

Haya mambo Yanatia hasira sa mimi na YAPUKA nani Mzee?????

Naogopa tu ban nilitaka kukuporomosheeni sana matusi, najua we mzee minja
unapatikana sana humu nakuuliza tena mimi na Muheshimiwa mstaafu nani mzee???
 
Title imeniacha hoiii baada ya kuona Pic
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…