pumbafffffffffffffffffffffffff fffffffff..................... ...........

Nambe

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
1,451
Reaction score
534
Baba - Unamfaham Nyerere?
Mtoto - Hapana!
Baba - Pumbavu.. kuwa makini na masomo yako!
Mtoto - Unamfahamu Hamisi?
Baba - Hapana.
Mtoto - Pumbavu.. kuwa makini na ndoa yako!
 
Kama mi ndo baba nakufa hapo hapo. Hamna hata cha kusubiri hapo.
 
Unamfahamu Rehema......Hapana......Pumbafu chunga sana mume wako...
Umamfahamu Juma mwendesha pikipiki....hapana.....pumbafu chunga sana mke wako....
 
Kama mi ndo baba nakufa hapo hapo. Hamna hata cha kusubiri hapo.
teh teh, dogo anamjua mwizi wa wa mali za mdingi wakati mwenye mali hana habari,
 
hao wakina rehema mie sisemi banaaa nnaowajua kwa kweli huwa ni mulika mwiziiiiiiiiiiiiii
Unamfahamu Rehema......Hapana......Pumbafu chunga sana mume wako...
Umamfahamu Juma mwendesha pikipiki....hapana.....pumbafu chunga sana mke wako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…