Pumba laini za mpunga au mahindi

Nenda arusha mkuu zipo bado,,pumba ya mahindi,wheat feed e.t.c
 
Naweza kukupatia pumba laini za mpunga nipo morogoro malinyi
 
Mkuu pumba ya mpunga laini nenda ifakara yani utasombelea mitani kibao

Hivi zinafaa kwa matumizi ya binadamu?
Zile laini niliona watoto wanabwia wakiwa machine, niliogopa nikidhani wangepaliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…