M Mantz Member Aug 6, 2009 97 30 Aug 16, 2011 #1 Wana JF, Kuna namna yoyote ya kupata PUK baada ya sim pin kuwa blocked? Kama ipo tafadhali naomba msaada wenu. Ni sim yangu ya siku nyingi hivyo hata starter pack yenye PUK siioni.
Wana JF, Kuna namna yoyote ya kupata PUK baada ya sim pin kuwa blocked? Kama ipo tafadhali naomba msaada wenu. Ni sim yangu ya siku nyingi hivyo hata starter pack yenye PUK siioni.
Gurta JF-Expert Member Sep 17, 2010 2,234 531 Aug 16, 2011 #2 Unatumia mtandao gani? Kama ni Voda; andika msg PUK kisha namba ya simu kisha tuma kwenda 123 Otherwise dial Customer care
Unatumia mtandao gani? Kama ni Voda; andika msg PUK kisha namba ya simu kisha tuma kwenda 123 Otherwise dial Customer care