Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Meko hawezi kumruhusu huyo mama afanye jambo hilo. Kuonekana kwake public ni nadra sana maana mara nyingi huwa anajiuguza kwasababu ya vipigo vya Meko.
Sio kazi yangu hiyo.Utatusaidia tukihitaji kaushahidi kiduchu..?
Sidhan kama hata anafurahia kuwa Mrs alcoholHuyo mama sidhani kama anajivunia na kufurahia kuwa FIRST LADY.Nani anabisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Meko hawezi kumruhusu huyo mama afanye jambo hilo. Kuonekana kwake public ni nadra sana maana mara nyingi huwa anajiuguza kwasababu ya vipigo vya Meko.
Kwa hulka ya mumewe unategemea atakuwa na furaha kweli ?Huyo mama sidhani kama anajivunia na kufurahia kuwa FIRST LADY.Nani anabisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mkuu unaweza ukafafanua kidogo tafadhali!Meko hawezi kumruhusu huyo mama afanye jambo hilo. Kuonekana kwake public ni nadra sana maana mara nyingi huwa anajiuguza kwasababu ya vipigo vya Meko.
Mme wake ana mfumo dume sana.Huyo mama sidhani kama anajivunia na kufurahia kuwa FIRST LADY.Nani anabisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uwezo wa akili kuweza kufafanua mambo hayo