Public Administrator natafuta kazi

Public Administrator natafuta kazi

MKARASINGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2018
Posts
149
Reaction score
237
Lejea somo tajwa hapo juu.

Nimemapiza shahada yangu Mwaka 2017 Chuo kikuu Mzumbe

Natafuta kazi maana sina ajira toka nmemaliza chuo zaidi ya kupalangana ili kuendesha maisha yngu yenye mahitaji kama binadam yeyote.

#0789701465
#0764579546
 
Mkuu si uapply hizi za TRA?
 
Back
Top Bottom