Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Nipo ila I'm bit far from Arusha
Come over
nipo moshi nitakusaidia just for free
Why shouldnt u get advised here that so anybody has got problems like urs can digest as well?Karibu inbox tafadhali...
Why shouldnt u get advised here that so anybody has got problems like urs can digest as well?
Ok some matters might be confidentional.anyway i will check u soonKwa sababu mimi ni mmoja wa watu ambao ni wasiri sana yaani napenda maisha yangu yawe siri hivyo sio rahisi hata kidogo kwangu kumueleza mtu shida niliyo nayo.
njoo inbox nikupe namba za psychologist mimi nipo arusha
That is the meaning for forums then ,place it here that we can digest many people have issues that need pyschiatrists or pychotherapistWhy shouldnt u get advised here that so anybody has got problems like urs can digest as well?
Hii ndio tatizo lenyewe la watu wenye mental health problems , specifically depressions ,wanatatizo ila ugonjwa wao mkuu hawaoendi kushareKwa sababu mimi ni mmoja wa watu ambao ni wasiri sana yaani napenda maisha yangu yawe siri hivyo sio rahisi hata kidogo kwangu kumueleza mtu shida niliyo nayo.
Chuchundi bhana[emoji16][emoji16][emoji16]Kwa sababu mimi ni mmoja wa watu ambao ni wasiri sana yaani napenda maisha yangu yawe siri hivyo sio rahisi hata kidogo kwangu kumueleza mtu shida niliyo nayo.