PSRS wanachokifanya sio fair..

PSRS wanachokifanya sio fair..

Benjamin10

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2016
Posts
422
Reaction score
620
Habari za muda huu ndugu wapambanaji..
Mimi nina hoja moja juu ya utumishi kutoa majibu ya written interview.. maana wanachukua muda kidogo halafu sasa majina ya shortlisted for oral interview au practical interview, yanatoka usiku wa manane... halafu kesho yake inatakiwa ukaifanye hiyo interview asubuhi saa 1.. aisee

Mimi naona sio fair kabisa.. Em ona matokeao ya NAOT na HESLB mpaka sasa baadhi ya kada bado hayajatolewa na kesho ni interview.. na kuna mengine yalitolewa jana usiku wa manane halafu leo asubuhi wamehitajika kuingia kwenye interview tena.

Mazeee hizi ajira mbona zimekua za kitumwa na kimanyanyaso hivi...

Wapange utaratibu mzuri..

NAYEYUKAAAAA....
 
Hizi za NAOT na HESLB bado sijaona mkanganyiko.

Watu wa prac wanafanya kesho na matokeo yao yametoka jana usiku, leo ilikuwa siku yao ya kwenda kwenye venue.

Wengine oral ni tarehe 7 na 8, matokeo yao yameanza kutoka jana usiku hadi leo.
 
Sawa'' kuna tangazo lilitoka.. la mabadiliko ya tarehe ya kufanya usahili wa prc/oral
 
Back
Top Bottom