Huwezi tunga hizo point ziendane kama hujapata kupitia/kusoma reliable source, iwe kitabu, au material zozote reliable.
Kwa uzoefu wangu wa hizi sahili chache, zinataka maandalizi ya kina, sio maandalizi haya zima moto, siku kumi kabla ya usahili. Kichwa kiwe kimetulia hasa.