Wadau! Ipi kati ya hizo itanifaa zaidi kwani nategemea kuanza kufanya mitihani ya moja wapo. Kitaaluma nina shahada ya elimu na post graduate diploma in procurement and logistics management.
Cips kwan ukimaliza cips utakuwa umequalify kimataifa then chet chako cha cips ukikipeleka psptb wanakupa na chet cha psptb kwa level uliyofikia hivyo kwa kufanya hvyo utakuwa umeua ndege wawili kwa jiwe moja