jamani hao PSPF ni waongo mie hata siku aplly nikashangaa mtu
ananipigia sim anataka anisaidie nipate kazi pale......,
kija kumdodosa ni muongo ile mbaya nashangaa hata mawasiliano
yangu alipata wapi
Haya ndio majibu rahisi. Hivi ukipita kwenye aptitude unaitwa kazini au unaitwa for next interview ambayo mara nyingi ni oral?
Kwa aliyeuliza nakuomba uwe na subira wala usikate tamaa, riziki yako km ipo ipo tu
Mkuu hizo kupata ni ndoto kuna watoto wa katibu mkuu wa3 familia Moja wanafanya tempo, watoto wa mawaziri 4... nao wapo tempo...memo sasa kutoka kwa viongozi wastaafu ni nyingi ndugu jamaa na marafiki yaani ni kimbembe....tafuta kwingine rafiki...