PSPF Kilimanjaro mnaboa sana; Mmeshindwa kunipa ID yangu kwa muda mrefu sasa

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
1,766
2,427
Hawa jamaa Ofisi zao zipo pale mkoani zilipo Ofisi za TRA yaani leo ni mara ya tatu natoka Mwanga mpaka Moshi mjini kuchukua ID yangu ya kunitambulisha Kama mwanachama wa PSPF lakini cha kushangaza kila nikifika naambiwa mashine zao za kuprint hazina wino mpaka waagize nje ya inchi kweli jamani?

Wakati Mimi kila siku nachoma nauli kuja mjini, ni bora basi mtueleze ni lini huo wino utakua umefika kuliko kutudanganya wiki ijayo na tukija tena mnasema wino haujafika.
Kuweni na uungwana mnakela sana.
 
Back
Top Bottom