PSPF Igeni mazuri toka LAPF

saivan

Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
15
Reaction score
8
PSPF wamekuwa hawatoi huduma zifuatazo kwa wakati au hawatoi kabisa huku wakijitangaza kutoa huduma hizo
1.mafao ya uzazi
2.mkopo wa elimu ya juu
3.mkopo wa viwanja
Huduma zote hizo kwa wateja wa LAPF hupatiwa ndani ya wiki Moja au mbili LAKINI PSPF watakwambia daada ya miezi mitatu na usumbufu mwingi sana na pengine usipate kabisa ila ni mahiri kuiga na kujitangaza tuu.
 
Mkuu mbona mi sijawahi ona kwenye website ya LAPF huduma ya mkopo wa kiwanja, pia ningeomba kufahamu je hakuna mkopo mwengine wa aina yeyote
 
Kama umelipwa kwa ajili ya marketing kuwa wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…