J Jeremy Bentham Senior Member Joined Apr 22, 2019 Posts 118 Reaction score 133 Oct 16, 2019 #1 Ni maeneo(idara) yapi mazuri mtu aliesoma PSPA anaweza kufanya mafunzo kwa vitendo(Field)
Gonzalo Miguel JF-Expert Member Joined Sep 1, 2018 Posts 850 Reaction score 661 Oct 16, 2019 #2 Loading..
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,223 Reaction score 27,062 Oct 16, 2019 #3 Ofisi ya ccm lumumba Ofisi ya chadema ufipa Ofisi ya act Ofisi ya TLP jogoo hausi usalama Ofisi ya msajili wa vyama Ofisi ya Bunge Ofisi ya wizara ga utawala bora Ofisi yoyote ya NGO za kiuhanaharakati Kazi kwako
Ofisi ya ccm lumumba Ofisi ya chadema ufipa Ofisi ya act Ofisi ya TLP jogoo hausi usalama Ofisi ya msajili wa vyama Ofisi ya Bunge Ofisi ya wizara ga utawala bora Ofisi yoyote ya NGO za kiuhanaharakati Kazi kwako
J Jeremy Bentham Senior Member Joined Apr 22, 2019 Posts 118 Reaction score 133 Oct 16, 2019 Thread starter #4 Mazigazi said: Ofisi ya ccm lumumba Ofisi ya chadema ufipa Ofisi ya act Ofisi ya TLP jogoo hausi usalama Ofisi ya msajili wa vyama Ofisi ya Bunge Ofisi ya wizara ga utawala bora Ofisi yoyote ya NGO za kiuhanaharakati Kazi kwako Click to expand... Ofisi ya Bunge[emoji1548]
Mazigazi said: Ofisi ya ccm lumumba Ofisi ya chadema ufipa Ofisi ya act Ofisi ya TLP jogoo hausi usalama Ofisi ya msajili wa vyama Ofisi ya Bunge Ofisi ya wizara ga utawala bora Ofisi yoyote ya NGO za kiuhanaharakati Kazi kwako Click to expand... Ofisi ya Bunge[emoji1548]
Kang kin Senior Member Joined Mar 21, 2017 Posts 154 Reaction score 123 Oct 16, 2019 #5 PSPA ni gani hiyo?
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,050 Oct 16, 2019 #6 Watafute UKAWA mkuu watakupa field
G guest-1793747943 Guest Oct 16, 2019 #7 Ukienda office za ukawa unapata experience, ukienda office ccm unapata marks za bure chagua wewe.
M MZEE RAZA JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 3,490 Reaction score 2,494 Oct 17, 2019 #8 Jeremy Bentham said: Ni maeneo(idara) yapi mazuri mtu aliesoma PSPA anaweza kufanya mafunzo kwa vitendo(Field) Click to expand... Nenda halmashauri utafanya field idara ya utawala na rasilimali watu au nenda ofisi ya DC utafanya kazi kwa DAS au kwa Afisa Tawala na utajifunza vema majukumu ya kiutawala na rasilimali watu.
Jeremy Bentham said: Ni maeneo(idara) yapi mazuri mtu aliesoma PSPA anaweza kufanya mafunzo kwa vitendo(Field) Click to expand... Nenda halmashauri utafanya field idara ya utawala na rasilimali watu au nenda ofisi ya DC utafanya kazi kwa DAS au kwa Afisa Tawala na utajifunza vema majukumu ya kiutawala na rasilimali watu.