T Tsidekenu Senior Member Joined May 7, 2009 Posts 141 Reaction score 42 Jun 3, 2011 #1 Bandugu, naomba kama kuna alieona tangazo la tra la mnada wa magari lilotoka kati ya wiki hii au wiki iliyopita anijuze mnada huo utakuwa tarehe ngapi na ni wapi na wapi utafanyika. senkyuu
Bandugu, naomba kama kuna alieona tangazo la tra la mnada wa magari lilotoka kati ya wiki hii au wiki iliyopita anijuze mnada huo utakuwa tarehe ngapi na ni wapi na wapi utafanyika. senkyuu