mkuu pad inawekwa original ile ya 30k na pia bei inazungumzika,dubai 130k na tanzania itakuwa hivyo hivyo? Pia kuna flash hapo na vifaa vingine,dubai hawakupi flash disk,dubai hawakuwekei games,na mostly mashine zao hazijachipiwa ili zicheze flash,ina maana mpk uchip hapa bongo kwa 30k.