najaribu kujibu kwa knowledge yangu bila kugoogle so ntapokosea isiwe tabu maaana najua majibu unayo
Proxy ni server zenye unique ip ambazo hupokea na kutuma maombi. Zinakaa katikati ya pc na kitu anachohitaji mwenye pc kama vile webadress.
Ninavofahamu kuna proxy za aina tatu glype, php na cgi.
Zinavyofanya kazi mtu mwenye pc anatuma request then proxy zinapokea halafu proxy zinafanyia kazi ile request then zinarudisha majibu kwa mwenye pc.
Faida zake ni ku unblock website zilizofungwa na pia kumfanya mtu awe anasurf bila kujulikana.
Pia proxy zina uwezo wa kubypass network kwa kuidanganya domain name mfano mzuri ni hii trick ilopita ya vodacom kwa kutumia 0.facebook.com
weakness kubwa ya proxy ni kwamba proxy nyingi kama sio zote ni post and get yaani hazisupport p2p. Na hii inazifanya zisiwork kwenye vitu kama torrent,
Weakness nyengine haisupport script zote kama javascript na ndo mana haikubali kwa ssl site nyingi
Ninavofahamu script za proxy ni open source na zinapatikana bure wewe tu uwezo wako wa kuzihost