proxy servers

proxy servers

Joined
Feb 13, 2012
Posts
9
Reaction score
2
Mambo vp wadau nina proxy servers kwa ajili ya free internet kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kuzitumia na kuziunganisha niweze ku access net please naomba shule ya hii kitu wazee.thank you
 
Hizo proxy nani alikupa? na kwa nini huyo aliyekupa na kukwambia kuwa utapata net ya bure aikufanyie config?!!
 
Back
Top Bottom