[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Diamond kazi anayo mwaka huu.
Mwaka huu ndio atajua watanzania ni watu wa namna gani. Pamoja na kwamba yeye pia katawaliwa na uswahili mwingi, kazi anayo.
Mshaurini aachane na mambo ya kiswahili, uswahili utamgharimu, kama anataka kuendelea kubakia kileleni, aachane na uswahili, ajionyeshe kua yeye ni international artist.
Mashindano ya kijinga jinga awaachie wajinga, aachane na mameneja waswahili swahili, mameneja wa kizaramo, maneno mengi.
Bado nina imani Diamond ni mwanamziki mkubwa, akiacha uswahili kama miaka 3 au 2 iliyopita, bado utawala wa muziki afrika mashariki na kati ni wake.
Sasa kinacho kushangaza ni nini? Mbona hushangai Mengi kulipia matangazo ya soda zake?Leo kwa mara ya kwanza kupitia mtandao wa video wa Youtube nimeshuhudia tangazo la wimbo wa 'Zilipendwa' ambao umeimbwa na wasanii kutoka 'lebo' ya WCB wakiongozwa na msanii wa kimatatifa, Diamond Platnumz.
Wimbo wa huo unajitokeza mwanzo unapofungua video kwenye mtandao huo kama tangazo ambalo inabidi usubiri wa sekunde 5 ndipo utazame video uliyokuwa unaikusudia kuitazama.
View attachment 581154
Hii imenishtua kidogo kwani tangu nianze kumfahamu Diamond sijawahi kuona wimbo wake wowote ambao ametumia aina hii ya matangazo.
Ninachoamini na kukifahamu ni kumba mara zote msanii Diamond amekuwa akipata watazamaji wengi wa video zake pamoja na 'subscribers ' kwanjia ya 'Organic Traffic'.
Japokuwa shutuma za kununua 'Traffic' zipo toka zamani, mimi nilikuwa sijapata uthibitisho wowote hadi kwenye video hii ya Zilipendwa.
Nanachojiuliza na ningependa wadau wake wa karibu mnieleza ni hiki.
Kipi kimepata Diamond pamoja na pamoja na lebo yake ya WCB kufanya hili kwenye wimbo wa 'Zilipendwa'?.
Namuheshimu sana Diamond kwa jitihada zake.
Tena unakuta ni vidume kabisa swali ambalo mimi huwa najiuliza hivi jamaa akifilisika watapata faida gani at least anavyofanikiwa analipa kodi na kaajiri watu pia hivyo kwa kiwango fulani anakuza uchumiVijana wa kitanzania, jishughulisheni na maisha yenu jamani, mnajihusisha na Diamond anawasaidia nini maishani?
Huo ndio ukweli mkuu na wataanzisha thread hapa bongo fleva sioHata kanumba mlimsema sana ila alipokufa mkajiweka kimbelembele front kumsifia na kumhuzunikia. Dai akienda na bongo fleva aina yake inakwisha na kiba anakwisha kama ray wa bongo movie
Unapika na kupakua kwa kiba mpk anakupenyezea ngoma zakeKwa nini sasa???????hofu inauwa.....watazame P square ni matajiri ila madogo Davido na Wizkid wanawafunika kimuziki ni sawa na Mondi...ajipange mambo ya kutegemea video Kali kubeba audio mbovu umekwisha...mangoma niliyopenyezewa ya Kiba yanatisha kuna watu wataenda kujificha Somalia
hahahha...sasa unashangaa nini sasa?? nenda kamwambie mange...hahahahaHii ni interesting kidogo. Juzi nilisikiliza wimbo huo wa Zilipendwa pamoja na ule wa Kiba "Seduce Me" nadhani nilizisikiliza mara tatu zote. La ajabu ni kuwa kila ninapoingia Youtube sasa, naonyeshwa "Zilipendwa" kuwa ni Up next hata kama wimbo ninaosikiliza hauna uhusiano kabisa na bongoflava! Nililitewa Zilipendwa kama Up Next wakati nilipokuwa nafuatilia Lecture fulani ya Lie Groups and Lie Algebras. Mwazoni sikuona tatizo ila sasa ninaanza kujiuliza kwa nini. Kila nikiingia Youtube, kwa video yoyote ile, ninawekewa Zilipendwa kama Up next. Hapa ni baadhi ya screenshots ninazopata, I can go on and on!!
View attachment 581172
View attachment 581188
View attachment 581192
View attachment 581204
Mbona hata Seduce Me ime lipwa uko Vevo au ujaionaLeo kwa mara ya kwanza kupitia mtandao wa video wa Youtube nimeshuhudia tangazo la wimbo wa 'Zilipendwa' ambao umeimbwa na wasanii kutoka 'lebo' ya WCB wakiongozwa na msanii wa kimatatifa, Diamond Platnumz.
Wimbo wa huo unajitokeza mwanzo unapofungua video kwenye mtandao huo kama tangazo ambalo inabidi usubiri wa sekunde 5 ndipo utazame video uliyokuwa unaikusudia kuitazama.
View attachment 581154
Hii imenishtua kidogo kwani tangu nianze kumfahamu Diamond sijawahi kuona wimbo wake wowote ambao ametumia aina hii ya matangazo.
Ninachoamini na kukifahamu ni kumba mara zote msanii Diamond amekuwa akipata watazamaji wengi wa video zake pamoja na 'subscribers ' kwanjia ya 'Organic Traffic'.
Japokuwa shutuma za kununua 'Traffic' zipo toka zamani, mimi nilikuwa sijapata uthibitisho wowote hadi kwenye video hii ya Zilipendwa.
Nanachojiuliza na ningependa wadau wake wa karibu mnieleza ni hiki.
Kipi kimepata Diamond pamoja na pamoja na lebo yake ya WCB kufanya hili kwenye wimbo wa 'Zilipendwa'?.
Namuheshimu sana Diamond kwa jitihada zake.
Jibu kumbe unalo mwenyewe kuwa anafanyia matangazo.....kila mfanyabiashara anabuni kulingana na nyakati na wakati, sasa unashangaa nn yy kama kaona kunauhitaji wakutumia njia iyo kufanya matangazo yy anasababu zakeLeo kwa mara ya kwanza kupitia mtandao wa video wa Youtube nimeshuhudia tangazo la wimbo wa 'Zilipendwa' ambao umeimbwa na wasanii kutoka 'lebo' ya WCB wakiongozwa na msanii wa kimatatifa, Diamond Platnumz.